msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Bwna yani mie napenda kwenda gym kuwaona warembo wakiwa wamevaa vicondom vyao... Basi nyoyo zinadundadunda tuu wakiwa kwa ile mashine ya kukimbia.Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi atapatia bwana huko huko, mwanaume mwenzangu chukua hatua sasa
Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi atapatia bwana huko huko, mwanaume mwenzangu chukua hatua sasa
Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi atapatia bwana huko huko, mwanaume mwenzangu chukua hatua sasa
Nilikuwa nawasilisha tu[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu vp shem katafunwa na njemba nini?? Njemba hiyo kuipiga huwezi unabaki unalalamika tu
Just kidding mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi wapiga ngoma tunakataa-hizo sio sheria zetu-sisi huwa tunahitaj dauwa na si dawaMkuu umesahau na kweny ngoma za kumtoa mwali nk wanawake za watu wanatafunwa sana na wale wapiga ngoma tena ni lazima haina kukataa ndo sheria za kweny ngoma
Kuna ka ukweli.
Ni bora wanaume au wanandoa wakafanya hivi:
1. Kufanya mazoezi pamoja kama vile jogging au kutenga chumba special kw mazoezi. Kuna baadhi ya mazoezi ata hayahitaji vifaa.
2. Mkienda Gym mnaenda wote. Wewe na Mkeo. Hafu unakua mkali kwa trainer.
Wanaume wapo wanahangaika na corona wewe kivulana unaleta umbea umbea tu,,, na wewe katafunwe basi
Mliman city au kinondoni?kuna saloon moja maarufu sana hapa mjini ipo mitaa ya mlimani city, aisee yule jamaa anawaidi sana mademu..[emoji28] hadi namuonea wivu