Sehemu za Gym ni hatari Mke wa mtu akienda lazima aliwe

Hii siri ungebaki nayo moyoni mjumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unatumia mbinu hizi kupambana na uharamia ktk penzi lako, jua maharamia wana mianya mingi.

Ni kama kujaribu kulinda bahari, wakati wewe unalinda Coco beach huku beach kidimbwi watu wameingia.
 
Zoezi la kutoa tumbo kujenga hipsi...

Wataliwa kweli... Wafanyie nyumbani mamaee..
 
Sasa mimi ambaye sina interest ya kuwa na mtoto, kwanini nioe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…