Sehemu za kazi mtu anaweza akakuchukia tu akazuia kila fursa unayostahili!

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Ni maisha tu.

Wanaoteuliwa kuwa Wakuu wa Vitengo au Idara wanajitahidi kuonyesha chuki zao na watendaji wa chini, wanadiriki kukutimba udidimie, ila Mungu ni Mkuu.

Fikiria mtu akuchukie tu, tena idara za serikali ambapo anakuonesha waziwazi kukufungia vioo.
 
Hahaha kuna mama aliwahi kusema nisipewe nafasi husika kwanza hadi astaafu. Sasa amefariki nami sipo kazini. Nilishangaa sana
 
Ni maisha tu.

Wanaoteuliwa kuwa Wakuu wa Vitengo au Idara wanajitahidi kuonyesha chuki zao na watendaji wa chini, wanadiriki kukutimba udidimie, ila Mungu ni Mkuu.

Fikiria mtu akuchukie tu, tena idara za serikali ambapo anakuonesha waziwazi kukufungia vioo.
HII NI KWELI KABISA
 
Back
Top Bottom