BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Habari ya 8 8 viongozi,
Njooni tupeane connection ya sehemu ambazo zina potential kwa sisi vijana kwenda kujipambania.
Nitaanza kama ifuatavyo.
1. Dar es Salaam na viunga vyake
Ebhana hii sehemu ukiwa na nidhamu ya pesa ukaweza kucontrol matumizi vizuri Basi Mwenyezimungu anaweza kukunyooshea haraka sana.
2. Ifakara +Kilombero
Kwa fursa za kilimo haswa mpunga na Miwa basi huku panafaa sana kwa vijana .
3. Kiteto Babati
Hii sehemu nayo kwa kilimo ipo vyedi sana ardhi yake haina usaliti kabisa, kijana ukifunga zipu huku dhidi ya watoto wa kiiraq basi unasiama vyema kabisa.
4. Lindi (Ufuta)
Yeah kusini haswa Lindi na mtwara kiasi Ardhi yake inakubali sana ufuta na uzuri wa ufuta unalima msimu kwa msimu so kama mtu upo Dar una mishe mishe zako unaweza kujaribu pia hii maana Dar to Lindi sio mbali.
NB: Bila nidhamu ya pesa Vijana hata ukatafute pesa Wapi hutoona faida, wanasena pesa inapenda kukaa sehemu kwenye pesa.
Embu ongezeeni sehemu nyingine wakuu...