Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

Sehemu za kwenda kutafuta maisha kwa vijana ni hizi hapa Tanzania

Watu wanataka Pesa za kudownload wanunue mandinga km wakina fulani, ngoja niingie Jikoni nikakoke moto
Mbwembwe tu hizo,sahv kila kijana anakuambia anataka awe content creator
Haha vijana wanataka kazi laini laini hawataki kuumia

Ova
 
Ajira hamna badili mwelekeo fuga hata kuku wanajitafutia riziki kama wewe,ingawa wanazingua ndani jua linapozana!Mnatoutiana msosi tuu na kuiga.
Hapana kuku wanasumbua mi sitaki kuanza kusafisha mabanda ya kuku mara kushika mauchafu yao
 
Mimi nilijua unatushauri tuchukue passport tusepe
Mwamba anaongelea sehemu zenye fursa kwa dunia ya leo ila zote zipo sehemu moha Tanzania tena Tanzania Bara.

Suala la kukamata pass na kuzunguka dunia ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom