Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

Bwana Bima

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
429
Reaction score
929
Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.

Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.

Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
 
Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kua mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kueni makini. Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Sio kila kitu serikali iangalie, kama mtu mzima na timamu kaamua kwenda masaji rooms ni utashi wake umehitimisha hivyo provided hamna mtu aliyelazimishwa kwenda huko.

Hatuwezi wote kuishi kwenye tamaduni sawa, au kuishi kwenye system ya maisha inayofanana.
 
Upo sahihi ndomana nimetoa tahadhari mkuu
 
Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kua mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kueni makini. Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Naona wewe ndo umejua leo.
 
Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.

Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.

Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Sasa serikali imeingiaje hapo
 
Vipi kuhusu sehemu za starehe, Vyuoni, maofisini na kwenye vyama vya siasa?
 
Back
Top Bottom