RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Jibu la "Fanya yanayokusu" mkuu ulishapata? [emoji3]Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!