Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣🤣Acha wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Acha wivu
Hata mimi najua hivyo. Kule ni uzinzi na uasherati tu ile kazi ya massage ni zuga tuInaendaga kimya kimya io ila ukigundua ujue mkeo au mmeo ashaliwa kitambo
Ni uzinzi mtupuHata mimi najua hivyo. Kule ni uzinzi na uasherati tu ile kazi ya massage ni zuga tu
FAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILIKama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Nikuulize swali mkuuFAIDA 20 ZA MASSAGE KATIKA MWILI
1 Massage inaboresha afya ya ngozi.
2.Massage hufungua mishipa ya fahamu na kuongeza uwezo wa kufikiri.
3. Massage husafisha ngozi na kuboresha mfumo wa utoaji takamwili.
4. Massage Inaondoa kovu la jeraha.
5. Massage husaidia kupona kwa wenye mivunjiko ya viungo/ mifupa.
6. Massage huondoa uchovu wa mwili na kukosa usingizi.
7. Massage huzuia kansa ya ngozi na tishu.
8. Massage huzuia Saratani ya Matiti.
9. Massage huondoa maumivu ya wakati wa hedhi.
10. Massage huboresha mmeng'enyo wa chakula na kuzuia Constipation (choo ngumu). 11. Massage hupunguza maumivu ya uchungu kwa wamama wajawazito.
12. Massage huondoa uchovu na kuvimba kwa miguu kwa wamama wajawazito.
13. Massage huimarisha mifupa kwa kuchochea ufyonzwaji wa Madini ya Kalsiam(Calcium) na Fosforas.
14. Massage huboresha mzunguko wa damu mwilini.
15. Massage husaidia kuondoa maumivu ya misuli na majeraha.
16. Massage huchochea ufanyaji kazi wa homoni mwilini.
17. Massage huzuia Stroke/ kiharusi.
18. Massage inasaidia sana kwa wazee kuimarisha misuli na kuwapa nguvu ya kutembea.
19. Massage huondoa maimivu ya chini ya mgongo.
20. Massage husaidia kuboresha mfumo wa maji mwilini (lymphatic system
sasa sidhani kama kunae enda kwenye massage anaaga!!Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Sasa ndio umeamua kuja kuwasema uku pita kila nyumba tangaza maana utakua umepaza sauti ya uhakika hivyo kila mtu atabaki kuchagua aende ama abaki apa wataishia kusoma tu kesho wamerudi😂😂Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Ni sawa lakini hili sio jambo jipya na pia hayo ni maisha yao, hayatuhusu mimi na wewe.Kwasababu nimejionea kwa macho yangu. Huko haina tofauti na mtu anayeenda kwenye mabanda ya machangudoa
Dunia haiishi leo hii. Ndiyo kwanza tunajiandaa kwenda kula chakula cha jioni. Hata kulala badoDunia imeisha
Kama kuna mume anamruhusu mkewe kwenda sehemu za massage, anashindwa kumfanyia mwenyewe, hilo litakuwa Papai, lenyewe linaliwa.Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Wewe serikali haingilii mambo ya chumbani hii sio IranI mean ikiwezekana wawe wanazichuza mara kwa mara au wasiwape kabisa leseni ya kufanya kazi
🤣🤣🤣Bora umenena mkuuJifunze kufanya yako watu wamtafta mitaji yao wameanzisha biashara kulingana na soko linataka nn ww unaleta majungu yako na iman zako za kidini za kijinga
Kwanza sio lazima uende izo sehemu sasa ww unaeleta ujuaji wako ulienda kufanya nn au unafuatilia vtu visivyo kuhusu umekosa kaz
Ww nenda kwa mwamposa akakupe masaji ya mafuta na maji wenzako acha wakapewe masaji ya nyama
Dunia imeishaje Sasa mbona unaongea ujingaDunia imeisha