Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Sio kila kitu serikali iangalie, kama mtu mzima na timamu kaamua kwenda masaji rooms ni utashi wake umehitimisha hivyo provided hamna mtu aliyelazimishwa kwenda huko.Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kua mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kueni makini. Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Upo sahihi ndomana nimetoa tahadhari mkuuSio kila kitu serikali iangalie, kama mtu mzima na timamu kaamua kwenda masaji rooms ni utashi wake umehitimisha hivyo provided hamna mtu aliyelazimishwa kwenda huko.
Hatuwezi wote kuishi kwenye tamaduni sawa, au kuishi kwenye system ya maisha inayofanana.
Naona wewe ndo umejua leo.Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kua mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kueni makini. Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Sasa serikali imeingiaje hapoKama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Kwasababu nimejionea kwa macho yangu. Huko haina tofauti na mtu anayeenda kwenye mabanda ya machangudoaNaona wewe ndo umejua leo.
I mean ikiwezekana wawe wanazichuza mara kwa mara au wasiwape kabisa leseni ya kufanya kaziSasa serikali imeingiaje hapo
shangaa na wewe😆Hivi kuna mwanamume anayemwambia au kumuaga mke wake kuwa huwa anaenda kufanyiwa massage?
Ni mwendo wa kimya kimya 😊shangaa na wewe😆
Kwan wanawake au wanaume wote wanajua kufanya massage mkuu? Hii kibongo bongo ngumuKwanini umruhusu mkeo/ mumeo aende kufanyia massage wakati wewe mwenyewe unaweza kum- massage? Haingii akilini kbsa
Vipi kuhusu sehemu za starehe, Vyuoni, maofisini na kwenye vyama vya siasa?Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
NdiyoHivi kuna mwanamume anayemwambia au kumuaga mke wake kuwa huwa anaenda kufanyiwa massage?
Inaendaga kimya kimya io ila ukigundua ujue mkeo au mmeo ashaliwa kitamboHivi kuna mwanamume anayemwambia au kumuaga mke wake kuwa huwa anaenda kufanyiwa massage?
Dunia imeishaVipi kuhusu sehemu za starehe, Vyuoni, maofisini na kwenye vyama vya siasa?
Hatari sana na mke anaridhiaNdiyo