Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Mwalimu wa tuisheni,mpe tuition arudi tulitoe Giza!Ali perform vizuri alipokuwa ilboru wakamchukua, kwasasa sidhani kama anamawazo ya kurudi tanzagiza 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu wa tuisheni,mpe tuition arudi tulitoe Giza!Ali perform vizuri alipokuwa ilboru wakamchukua, kwasasa sidhani kama anamawazo ya kurudi tanzagiza 😀😀
Huoni ww ndiye ulitoka nje ya maada? Kwani hii maada imezungumzia maswala ya vipato na madaraja makazini?Soma mada inazungumzia nn halafu andika kutokana na mada husika.
Mkuu kiufupi hapa kwetu tz tuko kama mnyama mwenye vichwa pande zote mbili(mbele na nyuma:Mada nzuri.
Kwa kuwa ume declear kuwa hukubahatika kuchaguliwa shule hizo basi moja kwa moja umekiri wengi huwajui na hujawahi wafuatilia.
BInafsi nawatambua vijana kadhaa waliopita shule hizo na wana mchango mkubwa kwa taifa katika nyanja mbalimbali.
Mfumo wa elimu zetu hazikutuwezesha kufanya gunduzi mbalimbali kwa sababu ya mazingira na vifaa. Lakini pia ugunduzi si mpaka urushe ndege. Matumizi sahii ya akili yako yanaweza kuleta matokeo chanya katika jamii.
Mfano juzi tumeona wanafunzi wa kibaha wakiwekeza mfumo wao wa kupiga kura kidigitali na kufanya uchaguzi.
Vipaji maalumu wengi walivyofika chuo wameendelea katika taaluma mbali mbali na pia wengi wapo na kampuni kadhaa....
Naweza kukutajia mbili tu. Anayeendesha AI ya kiswahili ni kipaji maalumu. Aliyeandika code za kampuni moja ya mawasiliano ni kipaji maalumu.
Nyerere ni kipaji maalumu n.k
Kwa namna ulivyotaja hao influencer wako ni dhahiri wewe ni mtu wa social media unayedanganywa na mafanikio ya picha.
Tatzo la watanzania wengi hudhania mafanikio ni hela nyingi au umaarufu.
Mimi nikuhakikishie tu. Kusanyiko la vilaza sio sawasawa na kusanyiko la vipaji maalumu. Kuna tofauti tu mtaonyesha kwenye kufikiri na kwenye kuamua.
Leo form 1 failure anaweza kutamba kuwa ana hela kuliko aliyesoma chuo. Lakini anasahau kuna watu behind walioweka mifumo imara inayofanya yeye apate hela.
Uvivu wa kufikiri unafanya tunakuwa na jamii isiyo na misingi imara na iliyokosa fikra timamu. Leo mtu mzima ana praise wauza uchi na machawa kuwa ndio wenye mafanikio. Huu ni ugonjwa wa akili.
Huelewi , 🤣 umaalumu uko kwenye nn ?Nyie wenyewe hamna kipya.Huoni ww ndiye ulitoka nje ya maada? Kwani hii maada imezungumzia maswala ya vipato na madaraja makazini?
Sio kosa lako bali wivu.Huelewi , 🤣 umaalumu uko kwenye nn ?Nyie wenyewe hamna kipya.
Unalia nn?🤣Sio kosa lako bali wivu.
Hizo ni shule maalumu kwa waliopata alama za juu tu.
Alama za juu kwenye nini?Umaalum ulilenga kwamba wamepata marks za juu
Kiukweli hata mimi sikupenda jamaa kuwatolea mfano wakina Mwijaku sijui Mobeto hao ni wakaa uchi mitandaoni hawapaswi kutolewa mfano kwenye mada yoyote inayohusu mambo ya msingi.Mada nzuri.
Kwa kuwa ume declear kuwa hukubahatika kuchaguliwa shule hizo basi moja kwa moja umekiri wengi huwajui na hujawahi wafuatilia.
BInafsi nawatambua vijana kadhaa waliopita shule hizo na wana mchango mkubwa kwa taifa katika nyanja mbalimbali.
Mfumo wa elimu zetu hazikutuwezesha kufanya gunduzi mbalimbali kwa sababu ya mazingira na vifaa. Lakini pia ugunduzi si mpaka urushe ndege. Matumizi sahii ya akili yako yanaweza kuleta matokeo chanya katika jamii.
Mfano juzi tumeona wanafunzi wa kibaha wakiwekeza mfumo wao wa kupiga kura kidigitali na kufanya uchaguzi.
Vipaji maalumu wengi walivyofika chuo wameendelea katika taaluma mbali mbali na pia wengi wapo na kampuni kadhaa....
Naweza kukutajia mbili tu. Anayeendesha AI ya kiswahili ni kipaji maalumu. Aliyeandika code za kampuni moja ya mawasiliano ni kipaji maalumu.
Nyerere ni kipaji maalumu n.k
Kwa namna ulivyotaja hao influencer wako ni dhahiri wewe ni mtu wa social media unayedanganywa na mafanikio ya picha.
Tatzo la watanzania wengi hudhania mafanikio ni hela nyingi au umaarufu.
Mimi nikuhakikishie tu. Kusanyiko la vilaza sio sawasawa na kusanyiko la vipaji maalumu. Kuna tofauti tu mtaonyesha kwenye kufikiri na kwenye kuamua.
Leo form 1 failure anaweza kutamba kuwa ana hela kuliko aliyesoma chuo. Lakini anasahau kuna watu behind walioweka mifumo imara inayofanya yeye apate hela.
Uvivu wa kufikiri unafanya tunakuwa na jamii isiyo na misingi imara na iliyokosa fikra timamu. Leo mtu mzima ana praise wauza uchi na machawa kuwa ndio wenye mafanikio. Huu ni ugonjwa wa akili.
Kwa mifano yako uliyoitoa hapo mwishoni bila shaka hujaelewa lengo la uzi.Mimi o-level nimesoma azania, miaka ile ukisikia azaboy ujue hicho kichwa cha moto, na nina washkaji zangu wamepiga kibaha na mzumbe. Hawa wanafunzi wanaotoka shule za vipaji maalumu wale finest wengi wao huwa wanapata scholarship za kwenda nje, kutokana na uchumi wa bongo wa tia maji tia maji huwa wanaamua kufanya kazi na kuishi uko uko.
Kuna wengine huwa wanachukuliwa na mashirika ya kimataifa ndio maana hapa bongo huwa wanabaki wachache sana kiasi kwamba hatuoni impact yao. Halafu watu waliosoma wana ustaarabu fulani hivi kiasi kwamba hata akiwa anafanya mambo makubwa anakua humble tofauti na ambao hawajasoma wanakuaga na show-offs nyingi sana kwaiyo ni rahisi kuonekana. Ndio maana hawa wanaotoka vipaji maalumu wengi hatujui wako wapi na wanafanya nini.
Lakini wapo na wanafanya vizuri tu nina washkaji zangu nimesoma nao azania kuna mmoja daktari anaishi newcastle, uingereza. Mwingine lecturer wa compyuta sayansi anafundisha chuo ujerumani, mifano ipo mingi wengi wapo nje na kwenye mashirika ya kimataifa
Wewe unaweza kukariri? Au ukifikiria neno kukariri unachukulia rahisi?Alama za juu kwenye nini?
Malizia hapo"alama za juu kwenye kukariri makaratasi"
Kila mtu akijiweka bize kwenye kukariri anaweza.Wewe unaweza kukariri? Au ukifikiria neno kukariri unachukulia rahisi?
Kwenye dunia ya sasa hakuna kipya utakachogundua bila ku associate na technolojia za awali.K
Kiukweli hata mimi sikupenda jamaa kuwatolea mfano wakina Mwijaku sijui Mobeto hao ni wakaa uchi mitandaoni hawapaswi kutolewa mfano kwenye mada yoyote inayohusu mambo ya msingi.
Sasa tukiendelea mbele na mada yetu katika mifano yako uliyoitoa bado hatujaona ugunduzi hapo kuendesha AI means AI tayari ilishagunduliwa na watu wengine wa nchi za mbali yeye anaitumia tu au sivyo hivyo?
Well noted.Kwenye dunia ya sasa hakuna kipya utakachogundua bila ku associate na technolojia za awali.
Kutokana na elimu yetu na mitaala tunayopewa ambayo kwa asilimia kubwa tulirithi kutoka wakoloni ambayo inamuandaa mtu kuwa muajiriwa kuliko kuwa mtegemezi tegemea asilimia chache mno watatoka kwenye hiyo minyororo....
Elimu unayopata hapa Tz ni tofauti na waliotengeneza hiyo mitaala ..
Amesoma fizikia kwa habari niliowahi idoma mahala.Kweli kabisa, kila mtu kwenye field yake anaweza kufanya innovation. Uwe dalali, bodaboda, mhasibu, mgavi, n.k unaweza kufanya innovation kwaiyo kabla ya kuwaangalia wengine jiangalie wewe kwanza umeongeza nini kwenye mchezo.
Mtu kama Jeff bezos yule ni winga tu alijiongeza na amazon yake
Watu wanataka UMAALUMU WAO kama walivyopewa status"SPECIAL". Kama ni utendaji tu wa kawaida hata wasioenda special school wanafanya.Asante kwa mfano mmojawapo hai. Wapo wengi sana wamelowea huko ughaibuni hawataki kurudi. Lakini wapo madaktari wengi bingwa nchini, Wahandisi, Wakufunzi na sector nyingi nchini wamesoma shule hizo. Watu wanaamua kuwachukulia poa tu
Huku kazini wote tunakula skeli moja ya mshahara, mtaala tulisoma wote sawa. Mabanda ya Physics na pure math wote tuliyapiga sana. Sasa umaalum wao uko wapi. Ongeza lingine wote tunatakiwa kwenda veta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Nafikiri aya ya mwisho ndio nilichokuwa nazungumza. Hapewi nafasi ya kufanya wanachoweza na ndio maana wengine wamebebwa ughaibuni na kutokomea hukoWatu wanataka UMAALUMU WAO kama walivyopewa status"SPECIAL". Kama ni utendaji tu wa kawaida hata wasioenda special school wanafanya.
China mwanafunzi akipewa hio status tegemea innovation za ajabu.
Kiujumla wanafanya vitu ambavyo haviwatofaitishi sana na wengine.
Sababu sio kwamba hawawezi kufanya vitu special ila wameathiriwa na mfumo.
Imagine Elon Musk angeamua kubaki SA je angeweza kufanya anayofanya ? Big no, Africa haisapoti ubunifu.
😅😅😅Huku kazini wote tunakula skeli moja ya mshahara, mtaala tulisoma wote sawa. Mabanda ya Physics na pure math wote tuliyapiga sana. Sasa umaalum wao uko wapi. Ongeza lingine wote tunatakiwa kwenda veta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
That was the basis of my ThreadWatu wanataka UMAALUMU WAO kama walivyopewa status"SPECIAL". Kama ni utendaji tu wa kawaida hata wasioenda special school wanafanya.