Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Ulikuwa, Morogoro, Tabora au Dodoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa, Morogoro, Tabora au Dodoma?
Shule maalumu bila WALIMU MAALUMU...Umaalum ulilenga kwamba wamepata marks za juu
Hii trend ya wakina dotto magari na musukuma kudhalilisha wasomi ndio tumefika hapa. Mtu national exams std 7 kafeli, olevel kasoma makongo, 4 kapita kijanja tu kwa chabo, alevel kaenda kambangwa uko comb H nini nini sijui, halafu anataka kujiweka kwenye mzani sawa na kichwa cha PCM kutoka kibaha.Bro wewe unaongea nini ,hivi unaangaliaga hizi documentary za uvumbuzi? Nataka kufanye project ya Quantum Physics au hata ya maswala ya AI unazifanyia kwenye facility zipi?
Bro watafute vijana wanasoma masomo ya Science,uoe wanavyo struggle kupata bajeti ya kufanya final year project,msiongee tu kwa ground madogo wanastrugle wanatumia mpaka hela yao ya boom kuongezea kwenye project.
Ujue mpaka unaona computer ,Smartphones,AI any new technology, behind zimetumika bilions of dollar,ukiconvert ni trillions of Tz Shs. Hivi nani awekeze bil of dollars, wakati elimu yetu haina mzingira mazuri ya kujifunza,hamna RnD Centre.
Msiwe mnaongea ongea fuatilieni hizi gunduzi kuna documentary kibao ndipo mtajua haya mambo yana hitaji hela. Trump juzi tu hapa kasema kwenye maswala ya AI peke yake US kaweka 500Bil USD hivi unajua 500bil USd sawa na kiasi gani?
Acheni lawama zisizo eleweka,bado hatuna mifumo na mazingira mazuri ya elimu yatakayo wafanya vijana wawe wagunduzi. Huoni mpaka sasa hivi serikali yako bado ina hangaika na matundu ya choo.
Hahah umenikumbusha Kambangwa ya pale MwananyamalaHii trend ya wakina dotto magari na musukuma kudhalilisha wasomi ndio tumefika hapa. Mtu national exams std 7 kafeli, olevel kasoma makongo, 4 kapita kijanja tu kwa chabo, alevel kaenda kambangwa uko comb H nini nini sijui, halafu anataka kujiweka kwenye mzani sawa na kichwa cha PCM kutoka kibaha.
Msalato Morogoro au ziko mbiliTumejionea wenyewe kule china na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Nimependa hiyo sentensi watu wengi walioelimika wana ka-ustaarabu fulani....Mimi o-level nimesoma azania, miaka ile ukisikia azaboy ujue hicho kichwa cha moto, na nina washkaji zangu wamepiga kibaha na mzumbe. Hawa wanafunzi wanaotoka shule za vipaji maalumu wale finest wengi wao huwa wanapata scholarship za kwenda nje, kutokana na uchumi wa bongo wa tia maji tia maji huwa wanaamua kufanya kazi na kuishi uko uko.
Kuna wengine huwa wanachukuliwa na mashirika ya kimataifa ndio maana hapa bongo huwa wanabaki wachache sana kiasi kwamba hatuoni impact yao. Halafu watu waliosoma wana ustaarabu fulani hivi kiasi kwamba hata akiwa anafanya mambo makubwa anakua humble tofauti na ambao hawajasoma wanakuaga na show-offs nyingi sana kwaiyo ni rahisi kuonekana. Ndio maana hawa wanaotoka vipaji maalumu wengi hatujui wako wapi na wanafanya nini.
Lakini wapo na wanafanya vizuri tu nina washkaji zangu nimesoma nao azania kuna mmoja daktari anaishi newcastle, uingereza. Mwingine lecturer wa compyuta sayansi anafundisha chuo ujerumani, mifano ipo mingi wengi wapo nje na kwenye mashirika ya kimataifa
Unajua Taasisi nyingi za utafiti hapa nchini zinakabiliwa na changamoto lukuki. Mathalani ufinyu wa bajeti kwenye kufanya tafiti, maabara zenye vifaa vya uhakika(vinakidhi vigezo vya kimataifa), mfumo wa elimu ya chuo kikuu, Kujisimamia yenyewe na kujiendesha bila kutegemea fedha za serikali kuu na pressure ya nje(Political Influence), nimejaribu kuorodhesha baadhi.Huko umeenda chini kabisa je umewahi kujiuliza SUA imekusaidia nini licha ya kuwa ni chuo kikubwa na cha muda mrefu hadi sasa? Je umenufaika nacho nini?
Hao hawakuwa vipaji maalum bali wenye uwezo mkubwa wa KukaririTumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Very Disappointing!Mfano mzuri Tundu Lissu. Tukiweka itikadi za kisiasa pembeni huyu jamaa yupo vyema kichwani, kapita ilboru pale. Huyu jamaa alienda kusoma nje akapata kazi nzuri tu marekani. Kama angebaki kule kule uenda dola ingeshamchukua aisaidie nchi, lakini msukumo wake wa kutumia taaluma yake ya sheria kuisaidia jamii yake ukamfanya arudi Tanzania. Nini tumemlipa? tumemmiminia risasi zisikua na idadi sasa hivi ni mlemavu.
Hivi kwa case study kama iyo unafikiri hawa finnest wakipata upenyo wa kutoka nje ya nchi au nafasi kubwa wataangaika kufanya jambo kuzisaidia jamii zao?
Sahihi mkuu lakini bado uwezo wa mtu [kipaji maalumu] sidhani kama unaweza kuathiliwa moja kwa moja na hizo sababu.Unajua Taasisi nyingi za utafiti hapa nchini zinakabiliwa na changamoto lukuki. Mathalani ufinyu wa bajeti kwenye kufanya tafiti, maabara zenye vifaa vya uhakika(vinakidhi vigezo vya kimataifa), mfumo wa elimu ya chuo kikuu, Kujisimamia yenyewe na kujiendesha bila kutegemea fedha za serikali kuu na pressure ya nje(Political Influence), nimejaribu kuorodhesha baadhi.
Ni sahihi, lakini bado tunarudi pale pale Mtoto wa Simba akilelewa kama mbuzi, kuna namna tuu atakosa uwezo kama wale simba wa porini. Ni kwasababu amefugwa kwa mfumo tofauti. Ndicho kilichopo huku Tanzania. Unakuta mtu anapotential lakini mazingira yanambinya anashindwa ku-explore kile kilichopo ndani yake.Sahihi mkuu lakini bado uwezo wa mtu [kipaji maalumu] sidhani kama unaweza kuathiliwa moja kwa moja na hizo sababu.
Angalia kuna watu wanasomea kayumba pamoja na changamoto zoote za kuyumba lakini wanatoa kuliko wa Ems.
Bado hao hao wanasoma kwenye vyuo kama SUA wanapotoka huko wanaanzisha salon akisubiri ajira Hapa tuseme tatizo ni nini?
Nakubali mkuuNi sahihi, lakini bado tunarudi pale pale Mtoto wa Simba akilelewa kama mbuzi, kuna namna tuu atakosa uwezo kama wale simba wa porini. Ni kwasababu amefugwa kwa mfumo tofauti. Ndicho kilichopo huku Tanzania. Unakuta mtu anapotential lakini mazingira yanambinya anashindwa ku-explore kile kilichopo ndani yake.
Huo ulikuwa usanii wa kaiwada. Uliza tuosoma nao vyuo vikuu tukwambie tulivyowapiga. Wengine, ukiwaona, unajiuliza vipaji vilikwenda wapi.Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Wewe hutaki tu kukubali..Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Hahhaah....we jamaaWewe hutaki tu kukubali..
Wengi wao wako usalama wa taifa, wakiteka raia na kuwalinda viongozi..
Wengine wako mtandaoni kubishana na vizabizabina wanaoikashifu chukuwachakomapema...
Wengine wamesambazwa kwenye mashirika, taasisi muhimu za dola kuwasoma vizuri viongozi walafi na wasio wazalendo, watajifunza jinsi vigogo wanavyotafuna maliasili na rasilimali na kuandika ripoti wanavyokula kwa urefu wa kamba zao!
Waliobaki wameingizwa bongo flava, Sanaa, utalii, uchawa nk nk!
Yuko vizuri anahitaji support atafika mbaliKuna dogo m1 anamaliza A level mwaka huu. Hajapita huko vipaji. Alisoma hizi shule za English medium. O level alisoma pale st Joseph mwanga .
Huyu dogo unaambiwa hesabu anapataga alama 100.
Namtabiria makubwa mbeleni.
Hehehehe.....walikosa support kuunga mkono vipaji vyao. Kama Nchi tujitafakariHuo ulikuwa usanii wa kaiwada. Uliza tuosoma nao vyuo vikuu tukwambie tulivyowapiga. Wengine, ukiwaona, unajiuliza vipaji vilikwenda wapi.