Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Napenda kujua concept ya nafasi ya kazi kuwa re-advertised uwa inakuwa Mara ngapi kwenye kazi fulani.
Kuna nafasi Moja walitangaza utumishi mwezi wa saba wakairudia mwezi wa nanë na watu hawakuitwa kwenye usail, Mara zotë inakuaje kwanini wasiendelee kutangaza hilo tangazo kwani inakuaje.
Nilitegemea waendelee kutangaza nafasi hyo had wapate mtu.