nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Ni kihoro cha hovyo, siku hizi makabila yote yamesoma ingawa ukabila ni tofauti na mtu kuwa na kabila lake. Kuna makabila yana ukabila mengine hayana.Hapo watajazana watu wale wa chini ya kichuguu kilichochangamka kama ilivyo desturi yao.
Wewe ambaye ni mkubwa, tuambie kwanini Serikali iliamua ku Centralize ajira zote zipitie Utumishi!?We ni dogo wa 2000s, hizi taasisi ambazo ni autonomous na semi-autonomous zimekuwa zikiajiri na hakuna hayo mnayoyawaza.
Nadhani huelewi sababu za kwanini serikali iliamua ku centralize ajira PSRS.Kwanini unafikiri ukabila tu, udini vipi. Kwani kamishna mkuu kabila gani. TRA yote ni kabila moja? Mambo mengine ni hisia tu.
Sio kweli.SABABU KUU ZILIZOFANYA AJIRA ZA TRA KUSIMAMIWA NA WENYEWE
✅ Utumishi huzingatia tu ufaulu wa Written & Oral Interview. Mwenye Ufaulu mkubwa kapata kazi regadless his/her lack of taxation professional background
- Inasemekana kuna malalamiko kuwa watu hawana taaluma za kodi au zinazohusiana na kodi kiasi cha kuwapelekea kufanya vibaya kazini. Kwa ufaulu wao wa interview hausababishi wao kuwa wataalamu wa sheria za kodi na kuwahudumia walipa kodi ipasavyo. Hii huleta utendaji kazi m-baya na makosa mengi kazini wakati unakuta waliosomea sheria za kodi wanaachwa kisa tu walifaulu kidogo. Anachukuliwa mwenye Bachelor of agricultural business anaachwa mwenye bachelor ya taxation.
- Inasemekana wakufunzi wa hawa waajiriwa wa TRA wanapowapa Training waajiriwa wapya wanagundua wengi ni vilaza wa kodi kiasi cha wao kutumia nguvu kubwa ya kuanza kuwafundisha tena upya “What is taxation, How to compute tax, How many Tax acts & their implication”. Baada ya training huwa wanawapa mtihani kuwapima walichojifunza, kwa kiasi kikubwa hufeli huo mtihani sababu tu hawana good background za kodi.
✅ INASEMEKANA LAKINI Msiseme nimesema
Suala sio uharaka walio nao hao wenyewe utashangaa inachukua mapaka miezi 4 watu hawajaitwaUna hoja Mkuu.. Ila kama nakumbuka Mhe. Namba 1 aliwapa Kibali kwa madai kuwa walilalamika kucheleweshwa kwa mchakato wa kuwapata watumishi wapya
Vijana wako strannded, mfumo unawasumbua sana, uko slow na sometime attachment zinagomaKwanza mfumo wao wa ajira TRA haupo sawa bado una mapungufu maana hata ukiangalia kuna baadhi ya kozi hazipo kwenye mfumo wao.
Na portal yenyewe ni ya hovyo sana wadau wanalalamika haina ufanisi.Ni wazo jema, ila mpaka hapa ilipofikia na washaanzisha na portal ya kufanyia application sidhani kama itarudishwa
Kuna mtu kanambia ana changamoto namba yake ys NIDA haileti taarifa na deadline inakaribia.Na portal yenyewe ni ya hovyo sana wadau wanalalamika haina ufanisi.
Ila hii nahisi inaweza kuwa sababu..Mfano kuna kazi zilitangazwa na eGA tokea August 2024 ila hadi leo hawajaita interview ni miezi 6 sasa mchakato wa Ajira haujaisha. na kuna nyingi ambazo zinasubiri..kwa hili la TRA wangesimamia PSRS interview wangeita mwakan 2026 maana wako busy na Ajira za walimuUna hoja Mkuu.. Ila kama nakumbuka Mhe. Namba 1 aliwapa Kibali kwa madai kuwa walilalamika kucheleweshwa kwa mchakato wa kuwapata watumishi wapya