Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Hiyo sekretariati ya bunge imesema nini kuhusu kujiuzulu kwa wale waliotufikisha hapa kuanzia na Hamza Johari na Dr Tulia?
 
Yule Kibibi kizee anasemaje??
 
Kwa taarifa yako Gas Mtwara ulikuwa ujinga wa Europe na USA, na si unaona baada ya kupiga kelele mkataba haukufanyika ona Ntwara ilivyorudi nyuma. Tuliwaambia, na sasa hili la bandari mmeanza tena ujinga wenu. CCM inapendwa acha kabis.
Sijui hata kama unajua lolote kuhusu gas ya Mtwara. Inshort hata sijui unaongea nini kuhusu gas ya Mtwara.

Ni kweli ccm inapendwa sana na wazee, vyombo vya dola, majizi maana ni sehemu ya kujifichia, mazombie na chawa wa aina yako. Ingekuwa inapendwa kwa maana ya kupendwa, tusingeona chaguzi za kihayawani vile ili watangazwe washindi kwa shuruti.
 
Hii waliitoa mda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…