FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #221
Tuanze kudai nchi yetu kwa nguvu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze kudai nchi yetu kwa nguvu sasa
Update hiyo hapoNakufuatilia mzalendo,keep us updated
Hiyo sekretariati ya bunge imesema nini kuhusu kujiuzulu kwa wale waliotufikisha hapa kuanzia na Hamza Johari na Dr Tulia?Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.
7. Hakuna muda wa mkataba.
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
wanasoma upepo kwanzaHiyo sekretariati ya bunge imesema nini kuhusu kujiuzulu kwa wale waliotufikisha hapa kuanzia na Hamza Johari na Dr Tulia?
M-tag Wakili Msando make ameamua kujichafuaHebu mfanye kunisaidia kuwa-TAG wale wapiga zumari wa CCM popote walipo. UPINZANI wameibuka kidedea again, ushindi wa bureee.
Yule Kibibi kizee anasemaje??Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.
7. Hakuna muda wa mkataba.
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
FaizaFoxy kaishia kunirarua hahahaahahahaaYule Kibibi kizee anasemaje??
Bado unaiona document ni fake kwakua haina tarehe? Rejea Post #141Umeniita?
Unasemaje?
Huwa hawasomi na hata kama wakisoma wachache wataelewa ambapo kura zao za hapana hazitatosha.Ilikua wapi wakati wanaupigia kura ya ndio . Ama walilewa mlungula
Ni wakati wa kukaa kimya maana Kila sehemu unaandika upumbavu na takataka[emoji706][emoji706][emoji706]Kama hamuelewi, Mkataba wa uendeshaji bandari ndiyo upo tayari.
Ameshindwa kusema tu, kijiba kimemkaa kooni.
Sijui hata kama unajua lolote kuhusu gas ya Mtwara. Inshort hata sijui unaongea nini kuhusu gas ya Mtwara.Kwa taarifa yako Gas Mtwara ulikuwa ujinga wa Europe na USA, na si unaona baada ya kupiga kelele mkataba haukufanyika ona Ntwara ilivyorudi nyuma. Tuliwaambia, na sasa hili la bandari mmeanza tena ujinga wenu. CCM inapendwa acha kabis.
Hii waliitoa mda sanaTumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.
7. Hakuna muda wa mkataba.
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
KITILA ni msomi ovyo anayetetea tumbo lake bila kujali maslahi ya nchi. Hafai kuwa kiongozi. Napata shida na hawa wanaoteuliwa na Sa100, au na yeye ni hao hao? au kazungukwa na type ya hal haoBunge limempinga Kitila Mkumbo hahahahaaView attachment 2697859
Umeniita?
Unasemaje?