Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Unaweza ukawa mtego wa kupunguza ama kuondoa kelele

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Unayo pointi hapo, kwani sasa wameanza na kampeni zingine za kuufunika huu mjadala wa Bandari kwa nguvu na kasi nyingine, sasa wamekuja na ripoti ya CAG manake wanajua kipolo hichi ka CAG walichokiweka tungeweza kukisahahu na kutupwa- kitaliwa vilevile.

Watambue.....Ngoma ndio kwanza imeanza....hapa ni mpaka Uhuru wa Tanganyika kutoka Tanzania uelweke pia.

Hatupeperushi Vitambaa vyeupe hapa na wala haipungizwi kelele au sauti


Kamata haoooo, shika haooooo.
 
Mkumbo na Yule Prof wa geology anayerushwa kichura na vitoto vya kizungu Ni sawasawa.
Uprof wa kukariri.
Mruma kila anachoulizwa hajui, sijui Nani kamteua kwenda kutuvua nguo watanzania mbele ya vitotovidogo.
Mkumbo sio Professor ni Associate Tena alifanya masuala ya Afya ya uzazi Kwa wanafunzi
 
Watanzania ndio Sasa hivi wanagundua kwamba JOB NDUGAI alikua spika mwenye akili na upeo wa kuona mbali na uzalendo wa Hali ya juu.
Kilichomuangusha Ni wale wanawake wasaliti thenashara +7 na kumnyima Lissu malipo yake halali.
Mfumo wa ccm ndio unaoharibu hao watu. Hata Tulia akitoka kwenye nyazfa akili zake zitatulia, sasa hiv ni fyatu fyatu.
 
Yes! Soma hii muongozo wa kulidhia mikataba ya kimataifa wa mwaka 2017
Screenshot_2023-07-24-19-51-17-32_f541918c7893c52dbd1ee5d319333948.jpg
 

Attachments

Hao sekretarieti ya Bunge ni kina nani?

Hata kama ni nyaraka halali, Ila imeandikwa kimachale machale saaaana.

Ili yakitokea ya kutokea iwe rahisi kuiruka.

Nani anapenda kupoteza ugali wake.

Ila ngoja tusubiri
 
Daa sasa itakuwaje hapa yaani.

Kuna simbirisi wapo Wafasi FM leo asubuhi walikuwa wanafanya jocks kwa hotuba ya mwenyekiti wa CDM Mbowe huku wakicheka kwa dharau, hivi wanaweka wapi makalio yao soon hapo?.

Ila kwa nilivyoelewa CCM na watu wao hawana haya hata kidogo kwa issue hii, same like na video inayotrend huko X, sorry tweeter!.
Alafu unajua hii nchi hatuna umoja kweli, tungejielewa, tungehakikidha account zote za Hawa vijana wa DP zinakosa followers... Yaani adhabu yao Hawa kudi-subscribe. Wakose popularity ndio wajue tumekasirika😳
 
Back
Top Bottom