Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Hakuna tareh Wala Saini hivyo tu vinatosha kuifanya hii doc kuwa invalid
Yap invalid kivile; Hii ngoma ya masela kitaani ila ndio bunge lilitakiwa lije na kitu kama hiki kupitia kamati zake kabla ya kusaini, kuna waliosaidia bunge kufanya kazi. Aibu ingine hii, yaani bunge limeshindwa kufanya hiv mpaka masela mtaani wametoa mfano.
 
Kamati hii pia ivunjwe

Mwenye majina yao tafadhali tuwekee tuwabrand kabisa kuwa ni maadui wa Tanganyika.

23 March 2023
Kibaha, Pwani
Tanzania

1690218924117.png

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Miundo mbinu ya Bunge walipofanya ziara ya kikazi Kibaha Pwani chini ya mwenyekiti mheshimiwa mbunge Selemani Kakoso, Abubakar Assenga ...

1690218842687.png


1690218636741-png.2698031



Picha zote hapo juu wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundo-Mbinu mwezi March 2023 katika ziara ya kikazi kukagua miradi


Picha za ziada toka maktaba :

TOKA MAKTABA: ZIARA YA WABUNGE WA KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA MIUNDOMBINU BANDARI YA MTWARA!

PIC 5
 
Siamini kama waliobutua ni wao, wao wapo kumlinda rais na maamuzi yake. Wao wana. njia muafaka za kutatua hii kabla hata aibu hii kutokea
Kule kuna wazaledo wa kweli wanaolinda katiba na sio Rais na ndio maana hawa mafisadi wanalalamika kuwa Mkataba ulivuja!!!
Ndio maana Kabudi analalamika kuwa huyo aliyevujisha huo mkataba amewavua Nguo na sasa Wako chi!!!
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Mwenyekiti WA hiyo sekreterieti na wajumbe ni akinanani.
Mimi naona mambo yamefika shingoni hivyo njia ya kutoka ndio hii ya kusema sekreterieti imeona mapungufu.
 
Yap invalid kivile; Hii ngoma ya masela kitaani ila ndio bunge litakiwaije na kitu kama hiki. kuna waliosaidia bunge kufanya kazi. Aibu ingine hii, yaani bunge limeshindwa kufanya hiv mpaka masela mtaani wametoa mfano.
Dah nchi yeti hakuna idara ambayo inafanya kazi kwa ueledi Kila kitu tunaharibu nadhan kunasehemu tumemkosea mungu kama taifa
 
Tafadhali nakuomba tuheshimiane, mimi sina urafiki na wewe wala mjinga mwenzako yeyote yule.

Shika adabu yako.
Kuna siku nliota nimeonana na wewe Dar es salaam ukaniambia mengi sana kuhusu wewe ni siri yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kikubwa tuheshimiane .
 
Kuna haja ya mikataba yote kuwa wazi kama kweli ina maslahi kwa taifa.

Watu waliopewa dhamani ni vilaza wa kutupwa na matumbo yanawaponza.
 
CHADEMA wapewe maua yao
Kwani huu mkataba walioupinga ni chadema tu Mwabukusi ni chadema Nshala ni CHADEMA Profesa Shivji ni chadema Dr Silaa ni chadema.
 
Back
Top Bottom