Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

So Kamati ya Bunge haina uwezo wa kushauri kuhusu Mkataba......Ndyo haiwezi ila secretariet na kamati za bunge ni tofauti ndo unachomaanisha au Mkuu? Au mimi ndo sijaelwwa
Nimejaribu kulifanyia kazi swali lako ila sijapata majibu! Labda wewe ukipitia au kuuliza vizur unipe utofauti kati ya hiyo kamati yenye mamlaka hayo na Sekretarieti
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Fedhea kubwa hii
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa..

Sawa tu, lakini hivi hili bunge ndilo lilipitisha huu mkataba, leo wanatoa haya maoni, je mwanzoni walikuwa hawajausoma hou mkataba wakagundua madhaifu yake na wayarekebishe?
 
Askofu Mwamalanga alitoa Siku 3 wale Washauri wabaya kwa Taasisi ya Rais wawe Wamejirudi

Leo ni Siku ya kwanza na tunasikia tetesi ambazo hazijathibitishwa kwamba Sekretarieti ya Bunge imeongea

Ngoja tuone kesho Siku ya pili😄

Mlale Unono!
 
Back
Top Bottom