Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Lini? tupe tarehe ilipotolewa,,Hii waliitoa mda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini? tupe tarehe ilipotolewa,,Hii waliitoa mda sana
Unayo pointi hapo, kwani sasa wameanza na kampeni zingine za kuufunika huu mjadala wa Bandari kwa nguvu na kasi nyingine, sasa wamekuja na ripoti ya CAG manake wanajua kipolo hichi ka CAG walichokiweka tungeweza kukisahahu na kutupwa- kitaliwa vilevile.Unaweza ukawa mtego wa kupunguza ama kuondoa kelele
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
KULE TISS kuna wazalendo wa kweli sio wa kulemba lemba!!!Hii deal ilisukwa vizuri sana ikaja kubutuka last minutes hahahahaa yaani tungestuka tumeuzwa
Nilichogundua hii Document tumechelewa kuipata ila ilisha wasilishwa Bungen mapema sana kipindi mkataba unaingia BungeniKwani waliopo wamelisaidia nn Taifa za ya mikataba ya hovyo? Mpaka leo mnahangaika ku satisfy matundu ya choo mashuleni!!
Mkumbo sio Professor ni Associate Tena alifanya masuala ya Afya ya uzazi Kwa wanafunziMkumbo na Yule Prof wa geology anayerushwa kichura na vitoto vya kizungu Ni sawasawa.
Uprof wa kukariri.
Mruma kila anachoulizwa hajui, sijui Nani kamteua kwenda kutuvua nguo watanzania mbele ya vitotovidogo.
MmmmgghNilichogundua hii Document tumechelewa kuipata ila ilisha wasilishwa Bungen mapema sana kipindi mkataba unaingia Bungeni
Hahahahahahaha hahahahahaha hahaahahUvumi tu huo akuna ukweli wowote hapo nyaraka hiyo inamapungufu mengi
Watu wanashobokea madaraka kwa kujipendekeza na kuharibu heshima ya Udaktari... Mi nashauri watu kama wanataka kuingia siasa, wasipoteze muda wa kusoma alafu unakuja kuharibu heshima ya Elimu yako namna hii🤔🤔Bunge limempinga Kitila Mkumbo hahahahaaView attachment 2697859
Mfumo wa ccm ndio unaoharibu hao watu. Hata Tulia akitoka kwenye nyazfa akili zake zitatulia, sasa hiv ni fyatu fyatu.Watanzania ndio Sasa hivi wanagundua kwamba JOB NDUGAI alikua spika mwenye akili na upeo wa kuona mbali na uzalendo wa Hali ya juu.
Kilichomuangusha Ni wale wanawake wasaliti thenashara +7 na kumnyima Lissu malipo yake halali.
Yes! Soma hii muongozo wa kulidhia mikataba ya kimataifa wa mwaka 2017Mmmmggh
Hakuna tareh Wala Saini hivyo tu vinatosha kuifanya hii doc kuwa invalidLini? tupe tarehe ilipotolewa,,
Hahahahahaha Kanga Pori??Kuna yule Kanga pori na kundi lake,Zembwera,Hando na wengine walipigia chapuo walitakiwa wahame nchi
Sometimes ni muhimu kuficha upumbavu wakoHakuna tareh Wala Saini hivyo tu vinatosha kuifanya hii doc kuwa invalid
Shukrani sanaYes! Soma hii muongozo wa kulidhia mikataba ya kimataifa wa mwaka 2017
View attachment 2698013
Wapo wanaong’oka , lakini si Samiah. Huo ndio ukweli.Safi deep state. Ehe Samia Anag'atuka tarehe ngapi?
Siamini kama waliobutua ni wao, wao wapo kumlinda rais na maamuzi yake. Wao wana. njia muafaka za kutatua hii kabla hata aibu hii kutokeaKULE TISS kuna wazalendo wa kweli sio wa kulemba lemba!!!
Alafu unajua hii nchi hatuna umoja kweli, tungejielewa, tungehakikidha account zote za Hawa vijana wa DP zinakosa followers... Yaani adhabu yao Hawa kudi-subscribe. Wakose popularity ndio wajue tumekasirika😳Daa sasa itakuwaje hapa yaani.
Kuna simbirisi wapo Wafasi FM leo asubuhi walikuwa wanafanya jocks kwa hotuba ya mwenyekiti wa CDM Mbowe huku wakicheka kwa dharau, hivi wanaweka wapi makalio yao soon hapo?.
Ila kwa nilivyoelewa CCM na watu wao hawana haya hata kidogo kwa issue hii, same like na video inayotrend huko X, sorry tweeter!.