Nimejaribu kulifanyia kazi swali lako ila sijapata majibu! Labda wewe ukipitia au kuuliza vizur unipe utofauti kati ya hiyo kamati yenye mamlaka hayo na SekretarietiSo Kamati ya Bunge haina uwezo wa kushauri kuhusu Mkataba......Ndyo haiwezi ila secretariet na kamati za bunge ni tofauti ndo unachomaanisha au Mkuu? Au mimi ndo sijaelwwa
WEWE nawe kumbe ni mpumbavu tu, sibishani tafadhaliUpumbavu gani? Tupe uthibitisho kuwa hiyo nyaraka ni ya Bunge kweli?
Baby mbona unakua mkali ebu njoo nikubusu basTafadhali nakuomba tuheshimiane, mimi sina urafiki na wewe wala mjinga mwenzako yeyote yule.
Shika adabu yako.
Sio ya BUNGE ni ya CHADEMA. Umeelewa Sasa!!Upumbavu gani? Tupe uthibitisho kuwa hiyo nyaraka ni ya Bunge kweli?
Sijawahi na sitakaa niipige punguan kulaTanzania hakuna viongozi period kwasababu wewe ni mmbunge unakubaliana na kila taka taka ilimradi familia yako inapata faida tokea nijue kupiga kura sijawahi kwenda kumpigia mpuuzi yeyote ma sintakaa
Fedhea kubwa hiiTumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.
7. Hakuna muda wa mkataba.
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Utasomewa albadiliWale Mashekh ubwaubwa wanazidi kuaibika
Taja tu mkuu usifiche, hatuna mhimili wa Bunge!
Walilewa pesa ya DP World mkuu, hakuna shaka yeyote.Ilikua wapi wakati wanaupigia kura ya ndio . Ama walilewa mlungula
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa..
Imeisha pita. Sasa ni kujaribu kuokoa jahazi.Ina maana watu wasingepiga kelele ingepita hiyo
Sipika sipika ndio tunaye lakini spika kama spika hatuna kabisaTumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa..
Sekretarieti ya Bunge is like star, has appeared only when is totally dark around us.Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa...
Wataicheua huko watakakocheulia.sasa itakuaje?...si tunasikia kuna baadhi ya wanasiasa wamekula pesa ndefu ya mwarabu?....wataitemaje?.