Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Serikali haifanyi biashara lakini Serikali ya Dubai inafanya biashara
 
Na wengine wengi wanakwenda kupisha Ofisi za umma!! Kubwa Lao yeye tutampumzisha kwa heshima 2025
Huyu anapaswa kuwajibishwa sasa, siyo kusubiri 2025, wakati akiendelea kuleta uharibifu mkubwa nchini.
 
Serikali haifanyi biashara lakini Serikali ya Dubai inafanya biashara
Mkuu, hili umegusa jambo ambalo wengi hawataki siku hizi kulijadili kabisa.
Hapa tunajadili Kampuni inayomirikiwa na serikali ya Dubai, kwamba inafanya kazi kwa ufanisi sana, kwa hiyo tunahitaji waje hapa kutufanyia kazi zetu.
Lakini sisi wenyewe, hapa hapa, tunasema serikali na watu wake hawawezi kufanya kazi kama hiyo kwa ufanisi mkubwa!

Hayo kweli siyo maajabu kwa upande wetu?
 
Mambo mengine atuhitaji akili za rocket science; it’s just common sense.

Dubai awezi kuja Tanzania bila ya hiyo IGA kuwa ratified; so ana interest zote na Tanzania kupitisha hiyo sheria.

Na sidhani kama anaweza ikana kwa sababu kuna kukabidhiana hayo maridhiano ya kisheria pia baada ya bunge.

Hayo ya mawaziri kwakua hakuna aliepinga hadharani it fair to assume walipitisha.

Yaani mnatunga tunga tu mambo yasiyo na kichwa wala miguu.

👋
 
Ni Serikali ya Wapumbavu tu ambayo haiwezi kujali maoni ya Wananchi wake.
 
Kama serikali hawawez si waachie ngazi Mzee kwani shida ipo wapi. Achen kuwadharau watz bana. Kama ishu ni management mpen bahrressa asimamie bila kumuingilia muone. Unakuta mkurugenz mzima wa bandari povu limemtoka eti bandari inaingiza hasara halafu bado liko ofisin bladfaken.
 
Una hakika kuna Waziri mwenye Guts za kupinga hadharani???
 
Tatizo ni mfumo CCM tuondokane nao sasa!
 
MAJINI Huwa yanawatesa sana mkuu.

Sio kosa lake

Amegeuka ADUI WA Kila mtu HUMU.
JF.

Mi nimebaki kumuhurumia tu.
Kuna watu dini zinewaharibucoabisa.., Ila Kiufupi PM na Spika tulia wanapaswa kutupisha ili kufanya uchunguzi juu ya mkataba.
 
Hahahaha 🤣 umeandika Kwa hisia sana sana
 
Na ni aibuu kubwa tunaidhalilisha mchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…