Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Serikali haifanyi biashara lakini Serikali ya Dubai inafanya biashara
 
Na wengine wengi wanakwenda kupisha Ofisi za umma!! Kubwa Lao yeye tutampumzisha kwa heshima 2025
Huyu anapaswa kuwajibishwa sasa, siyo kusubiri 2025, wakati akiendelea kuleta uharibifu mkubwa nchini.
 
Serikali haifanyi biashara lakini Serikali ya Dubai inafanya biashara
Mkuu, hili umegusa jambo ambalo wengi hawataki siku hizi kulijadili kabisa.
Hapa tunajadili Kampuni inayomirikiwa na serikali ya Dubai, kwamba inafanya kazi kwa ufanisi sana, kwa hiyo tunahitaji waje hapa kutufanyia kazi zetu.
Lakini sisi wenyewe, hapa hapa, tunasema serikali na watu wake hawawezi kufanya kazi kama hiyo kwa ufanisi mkubwa!

Hayo kweli siyo maajabu kwa upande wetu?
 
Wewe hapo ulipo unajua ni lini Baraza la Mawaziri walijadili hili jambo, unajua?

Huko Dubai akitokea mtu yeyote kasaini na kudai ni mwakilishi, hutaki kujua mtu huyo anao wadhifa gani kwenye serikali yao. Sheria yao ndivyo inavyosema?
hatuna haki ya kutaka kujua na kuridhika na uwakilishi wao?

Hili jambo kbwa kwetu, halafu mtu kama wewe unakuja hapa unasema ni 'petty issue'?

Be serious.
Sometimes you appear to be an intelligent person, but quite often you seem to lose it completely!
Mambo mengine atuhitaji akili za rocket science; it’s just common sense.

Dubai awezi kuja Tanzania bila ya hiyo IGA kuwa ratified; so ana interest zote na Tanzania kupitisha hiyo sheria.

Na sidhani kama anaweza ikana kwa sababu kuna kukabidhiana hayo maridhiano ya kisheria pia baada ya bunge.

Hayo ya mawaziri kwakua hakuna aliepinga hadharani it fair to assume walipitisha.

Yaani mnatunga tunga tu mambo yasiyo na kichwa wala miguu.

👋
 
Hayo ni vijimaoni ya sekretariati ya bunge tu na havina impact yoyote kwa utekelezaji wa mkataba uliopo mezani. Serikali ndiyo muhimili uliojichimbia chini zaidi na kwa kuwa uamuzi ulishapitishwa kuipa DPW tenda, basi kazi iendelee.
Tuwajulishe tu kwamba kelele za chura haziizui serikali kufanya kazi yake.
Ni Serikali ya Wapumbavu tu ambayo haiwezi kujali maoni ya Wananchi wake.
 
Mkuu, hili umegusa jambo ambalo wengi hawataki siku hizi kulijadili kabisa.
Hapa tunajadili Kampuni inayomirikiwa na serikali ya Dubai, kwamba inafanya kazi kwa ufanisi sana, kwa hiyo tunahitaji waje hapa kutufanyia kazi zetu.
Lakini sisi wenyewe, hapa hapa, tunasema serikali na watu wake hawawezi kufanya kazi kama hiyo kwa ufanisi mkubwa!

Hayo kweli siyo maajabu kwa upande wetu?
Kama serikali hawawez si waachie ngazi Mzee kwani shida ipo wapi. Achen kuwadharau watz bana. Kama ishu ni management mpen bahrressa asimamie bila kumuingilia muone. Unakuta mkurugenz mzima wa bandari povu limemtoka eti bandari inaingiza hasara halafu bado liko ofisin bladfaken.
 
Mambo mengine atuhitaji akili za rocket science; it’s just common sense.

Dubai awezi kuja Tanzania bila ya hiyo IGA kuwa ratified; so ana interest zote na Tanzania kupitisha hiyo sheria.

Na sidhani kama anaweza ikana kwa sababu kuna kukabidhiana hayo maridhiano ya kisheria pia baada ya bunge.

Hayo ya mawaziri kwakua hakuna aliepinga hadharani it fair to assume walipitisha.

Yaani mnatunga tunga tu mambo yasiyo na kichwa wala miguu.

[emoji112]
Una hakika kuna Waziri mwenye Guts za kupinga hadharani???
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Tatizo ni mfumo CCM tuondokane nao sasa!
 
MAJINI Huwa yanawatesa sana mkuu.

Sio kosa lake

Amegeuka ADUI WA Kila mtu HUMU.
JF.

Mi nimebaki kumuhurumia tu.
Kuna watu dini zinewaharibucoabisa.., Ila Kiufupi PM na Spika tulia wanapaswa kutupisha ili kufanya uchunguzi juu ya mkataba.
 
Kama serikali hawawez si waachie ngazi Mzee kwani shida ipo wapi. Achen kuwadharau watz bana. Kama ishu ni management mpen bahrressa asimamie bila kumuingilia muone. Unakuta mkurugenz mzima wa bandari povu limemtoka eti bandari inaingiza hasara halafu bado liko ofisin bladfaken.
Hahahaha 🤣 umeandika Kwa hisia sana sana
 
Mkuu, hili umegusa jambo ambalo wengi hawataki siku hizi kulijadili kabisa.
Hapa tunajadili Kampuni inayomirikiwa na serikali ya Dubai, kwamba inafanya kazi kwa ufanisi sana, kwa hiyo tunahitaji waje hapa kutufanyia kazi zetu.
Lakini sisi wenyewe, hapa hapa, tunasema serikali na watu wake hawawezi kufanya kazi kama hiyo kwa ufanisi mkubwa!

Hayo kweli siyo maajabu kwa upande wetu?
Na ni aibuu kubwa tunaidhalilisha mchi
 
Back
Top Bottom