Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Hauna lolote, wewe unajibaraguza tu.

Umeshelewa jamvini karamu imeshaliwa.


Mkumbo hajatangaza mikataba ya uendeshaji bandari leo?


Maana ni mikataba, siyo mkataba.
Faiza ulisema mkataba hauna shida,ni mzuri,una la kusema?Wakati mwingine muwe na aibu jamani. TLS na hata LRHC wameukataa,who are you to say it is okay,au na wewe wamekukatia kama Kitenge?Shame on you.

 
Tanzania kuna muhimili mmoja tu ambao ni RAIS. mengine kutuchoshaaa tu
 
endelea kujizima data
Kwa huo utumbo uiouleta ambao hauna tarehe wala saini?

Unatupotezea muda, tunafikiri cha maana, kumbe uharo.


Hapo hata data siwashi. Wadanganye wajinga wenzako.
 
Mungu ibariki JF
 
Tanzania hakuna viongozi period kwasababu wewe ni mmbunge unakubaliana na kila taka taka ilimradi familia yako inapata faida tokea nijue kupiga kura sijawahi kwenda kumpigia mpuuzi yeyote ma sintakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…