FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.We ajuza ingia ndani ulale wazee wenzako wamepumzika sahivi
Mkumbo hajatangaza mikataba ya kuendesha bandari leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.We ajuza ingia ndani ulale wazee wenzako wamepumzika sahivi
Atangaze tu shida ni nini?Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Mkumbo hajatangaza mikataba ya kuendesha bandari leo?
Faiza ulisema mkataba hauna shida,ni mzuri,una la kusema?Wakati mwingine muwe na aibu jamani. TLS na hata LRHC wameukataa,who are you to say it is okay,au na wewe wamekukatia kama Kitenge?Shame on you.Hauna lolote, wewe unajibaraguza tu.
Umeshelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Mkumbo hajatangaza mikataba ya uendeshaji bandari leo?
Maana ni mikataba, siyo mkataba.
ametangaza, na nchi inaenda kupata mafanikio lukukiHauna lolote, wewe unajibaraguza tu.
Umeshelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Mkumbo hajatangaza mikataba ya uendeshaji bandari leo?
Maana ni mikataba, siyo mkataba.
😂😂😂 Miye Tomaso!Cross exams kama hizo huez elewa lazima utafute chaka!!
Huu ujinga uache haisaidii hili TaifaCHADEMA wapewe maua yao
🤣🤣😂😂😂 Miye Tomaso!
Naam, na nnaendelea kulisema hilo.Faiza ulisema mkataba hauna shida,ni mzuri,una la kusema?Wakati mwingine muwe na aibu jamani.
endelea kujizima dataNaam, na nnaendelea kulisema hilo.
Kwani waliopo wamelisaidia nn Taifa za ya mikataba ya hovyo? Mpaka leo mnahangaika ku satisfy matundu ya choo mashuleni!!Huu ujinga uache haisaidii hili Taifa
Utaendeleaje wakati wahusika wakuu wanasema una mapungufu,tena mengi.Naam, na nnaendelea kulisema hilo.
Kwa huo utumbo uiouleta ambao hauna tarehe wala saini?endelea kujizima data
hifadhi hii comment #141Kwa huo utumbo uiou;eta ambao hauna tarehe wala saini?
Hapo hata data siwashi.
Wew ni mjinga hujitambui watu wanaunganisha nguvu juu ya vyama wew unaota ota Tu kama uji mdomoniKwani waliopo wamelisaidia nn Taifa za ya mikataba ya hovyo? Mpaka leo mnahangaika ku satisfy matundu ya choo mashuleni!!
Mungu ibariki JFTumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki"
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano
7. Hakuna muda wa mkataba
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea