Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki"
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano
7. Hakuna muda wa mkataba
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Kwani Mama anasemaje? Tutaondokanaje na huu mkataba wakati tumeishasaini na bunge limeishauridhia?
Tukiuvunja itabidi tuwalipe $$$$ wakati hazina yetu imekauka.

Ok. Nimepata mwanga: tutawapa ngorongoro na longido yote.

Wale wamasai waliokaidi kuhamia msomera, sasa hivi watahama kwa lazima na viboko juu.
Hakuna kuwapakia kwenye mabasi wala nini. Watapiga lapa na mifugo yao hadi msomera.
 
Wew ni mjinga hujitambui watu wanaunganisha nguvu juu ya vyama wew unaota ota Tu kama uji mdomoni
Kangala unaweza jiona upo very aggressive but your utterly dambazz!! Hoja yang ipo very open lkn unakwenda kurauka in order uonekana genius!!
 
Kwani Mama anasemaje? Tutaondokanaje na huu mkataba wakati tumeishasaini na bunge limeishauridhia?
Tukiuvunja itabidi tuwalipe $$$$ wakati hazina yetu imekauka.

Ok. Nimepata mwanga: tutawapa ngorongoro na longido yote. Wale wamasai waliokaidi kuhamia msomera, sasa hivi watahama kwa lazima
tutawapa kisiwa cha Nungwi
 
Daa sasa itakuwaje hapa yaani.

Kuna simbirisi wapo Wafasi FM leo asubuhi walikuwa wanafanya jocks kwa hotuba ya mwenyekiti wa CDM Mbowe huku wakicheka kwa dharau, hivi wanaweka wapi makalio yao soon hapo?.

Ila kwa nilivyoelewa CCM na watu wao hawana haya hata kidogo kwa issue hii, same like na video inayotrend huko X, sorry tweeter!.
Hahaa ile ya twitter ni aibu kwakweli dah
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki"
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano
7. Hakuna muda wa mkataba
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Teh! teh! teh!
 
Attachments

  • 894-8942700_jpg-royalty-free-download-laugh-clipart-boy-boy.jpg
    894-8942700_jpg-royalty-free-download-laugh-clipart-boy-boy.jpg
    42 KB · Views: 2
Najaribu kufikiria namna ya kuvunja makubaliano (mkataba) ambao tayari umesha sainiwa na pande zote mbili.
Je, itakuwa ni kirahisi rahisi tu?​
 
S
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki"
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano
7. Hakuna muda wa mkataba
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Simbilisi no.1 Jerry Slaa na kidigree chake cha mchongo.
Amesoma lakini haelewi.

Na inaeleke Tulia ,akili imeanza kumrudia kichwani.
 
Back
Top Bottom