Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

wapinge na hii

Nimeona, wanasubiri watuingize kwenye shida nyingine tena.
 
Muhimu wameziona hizi changamoto tumshukuru Mungu kwa hili.
Angalua tupo pamoja sasa tunaweza kufanya kitu kama taifa.
Mungu awabariki sana kwa hili
 
Mkuu asante ila ujue sekreterieti ya bunge siyo bunge
Mkuu upo serious kweli?Tunajua Secretariet sio Bunge,lakini ni chombo muhimu cha Bunge.Naamini kwamba wasingetoa tamko kama isingekuwa general consensus ya Bunge.
 
Serikali na Bunge wote wajiuzulu. Hopeless kabisa hawa watu.

Hata hivyo. hakuna tarehe kwenye hii document wala saini ya wahusika. Hivyo, huenda huu uchambuzi nao umevujishwa kwa lengo la wajumbe kujaribu kuepuka lawama ingawa walipaswa kujiuzulu kama walikuwa hawakubaliana na yaliyomo kwenye mkataba huu.
 
Tindo huoni aibu kabisa??? Wewe ni moja ya viumbe mnaotia hasara dunia kwa kuwabania wengine natumizi ya oxygen. Wapinzani wapo chali kinoma tena wapo taabani kimwili na kiroho. Agenda ya mkataba wamebeba na wanapotosha. Kwa ufupi Dkt Samia kawashika pabaya! Mitaani huku ni Dkt Samia tu na CCM!
Ni kweli, ni kama mlivyotushika pabaya wakati wa mkataba wa gas ya Mtwara. Sifa zilikuwa ni nyingi kuliko hizi. Leo hii hakuna mwanaccm anatamani hata kwenda huko mtwara kuwekeza kibanda cha Mpesa. Huko mtaani wanaomsifia Samia ni nyie chawa.

Na kwa kukusaidia tu, ccm sio chama cha siasa, bali ni genge la dola lililojivika koti la chama cha siasa. Nje ya vyombo vya dola, ccm ni bora hata TLP.
 
Attachments

Kwa taarifa yako Gas Mtwara ulikuwa ujinga wa Europe na USA, na si unaona baada ya kupiga kelele mkataba haukufanyika ona Ntwara ilivyorudi nyuma. Tuliwaambia, na sasa hili la bandari mmeanza tena ujinga wenu. CCM inapendwa acha kabis.
 
Ni kweli, ni kama mlivyotushika pabaya wakati wa mkataba wa gas ya Mtwara. Sifa zilikuwa ni nyingi kuliko hizi. Leo hii hakuna mwanaccm anatamani hata kwenda huko mtwara kuwekeza kibanda cha Mpesa. Huko mtaani wanaomsifia Samia ni nyie chawa.

Na kwa kukusaidia tu, ccm sio chama cha siasa, bali ni genge la dola lililojivika koti la chama cha siasa. Nje ya vyombo vya dola, ccm ni bora hata TLP.
Hio simblisi nimeiweka kwa ignore list
 
Sasa wataanza lini kujihudhuru?. Waziri mkuu na Spika Tulia out...

Spika Ndugai arudishiwe kiti chake na wabunge wa upinzani warudishwe bungeni hasa hawa wote waliothubutu kupinga huu mkataba ndio wenye mapenzi mema na hii nchi. Ova
 
Back
Top Bottom