Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Bunge la majizi ya kura huwa haliaminiki.sema BUNGE linaweza kuukana huu waraka, tusiwaamini sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge la majizi ya kura huwa haliaminiki.sema BUNGE linaweza kuukana huu waraka, tusiwaamini sana
Nimeona, wanasubiri watuingize kwenye shida nyingine tena.wapinge na hii
Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM? Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie? --- Winshear...www.jamiiforums.com
Hakuna unafuu, tunaenda kulipa tenangoma inazungmziwa South africa
Kama hii document ni sahihi mama atanyooka na wahusikaAuthenticity ya hii Nyaraka ?
Sio kwamba nasema ni Fake ila kuna uwezekano hata kama ni real kesho wakairuka kwamba sio yao
Mkuu upo serious kweli?Tunajua Secretariet sio Bunge,lakini ni chombo muhimu cha Bunge.Naamini kwamba wasingetoa tamko kama isingekuwa general consensus ya Bunge.Mkuu asante ila ujue sekreterieti ya bunge siyo bunge
Ni kweli, ni kama mlivyotushika pabaya wakati wa mkataba wa gas ya Mtwara. Sifa zilikuwa ni nyingi kuliko hizi. Leo hii hakuna mwanaccm anatamani hata kwenda huko mtwara kuwekeza kibanda cha Mpesa. Huko mtaani wanaomsifia Samia ni nyie chawa.Tindo huoni aibu kabisa??? Wewe ni moja ya viumbe mnaotia hasara dunia kwa kuwabania wengine natumizi ya oxygen. Wapinzani wapo chali kinoma tena wapo taabani kimwili na kiroho. Agenda ya mkataba wamebeba na wanapotosha. Kwa ufupi Dkt Samia kawashika pabaya! Mitaani huku ni Dkt Samia tu na CCM!
Nakazia...Unaweza ukawa mtego wa kupunguza ama kuondoa kelele
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Fafanua kivipi ?
Watapiga sendeu... Nchi ina miujiza sana hii.Watapiga lapa na mifugo yao hadi msomera.
Kwa taarifa yako Gas Mtwara ulikuwa ujinga wa Europe na USA, na si unaona baada ya kupiga kelele mkataba haukufanyika ona Ntwara ilivyorudi nyuma. Tuliwaambia, na sasa hili la bandari mmeanza tena ujinga wenu. CCM inapendwa acha kabis.Ni kweli, ni kama mlivyotushika pabaya wakati wa mkataba wa gas ya Mtwara. Sifa zilikuwa ni nyingi kuliko hizi. Leo hii hakuna mwanaccm anatamani hata kwenda huko mtwara kuwekeza kibanda cha Mpesa. Huko mtaani wanaomsifia Samia ni nyie chawa.
Na kwa kukusaidia tu, ccm sio chama cha siasa, bali ni genge la dola lililojivika koti la chama cha siasa. Nje ya vyombo vya dola, ccm ni bora hata TLP.
Hio simblisi nimeiweka kwa ignore listNi kweli, ni kama mlivyotushika pabaya wakati wa mkataba wa gas ya Mtwara. Sifa zilikuwa ni nyingi kuliko hizi. Leo hii hakuna mwanaccm anatamani hata kwenda huko mtwara kuwekeza kibanda cha Mpesa. Huko mtaani wanaomsifia Samia ni nyie chawa.
Na kwa kukusaidia tu, ccm sio chama cha siasa, bali ni genge la dola lililojivika koti la chama cha siasa. Nje ya vyombo vya dola, ccm ni bora hata TLP.
kuna siku watakuja kuuza hadi watoto wetuHawa watu hawaaminiki tena, yaani hawa hata ukiwapa kazi ya kuchunga mbuzi wa kijiji utakuta wameuzwa🤣🤣🤣🤣
hahahaha hawataki tupumzike ili mradi tu tuishi kama mashetaniNimeona, wanasubiri watuingize kwenye shida nyingine tena.
Mzee wa siku anawamudu watu wenye tabia hizi za kuingiza taifa kwenye matatizo kwa makusudihahahaha hawataki tupumzike ili mradi tu tuishi kama mashetani