Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Ujasiri !!
When and how ??!! [emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]
Mungu anafanya kazi na MTU mmoja tu jasiri.

MTU mmoja jasiri alibadili majira na nyakati.

Tumempata Mwabukusi, Askofu Mwamakula, Tundu Lisu.
Dr. Slaa.
Prof. Tibaijuka.
Mdude Nyangali.
Nay Wamitego.
Dr. Slaa.
Joseph. Butiku.
Joseph Warioba.

Ni WENGI mno. Wanatosha sana na moto wake ni Lazima uwake.

Kila nchi Ina watu waliojikuta wamezaliwa Hapo bila kupanga . Mungu ameweka hatima Yao na Vizazi vyao.

Hakuna Taifa litakoinuliwa na taifa jingine zaidí ya kunyonywa na Kutawaliwa.
Ni upumbavu Karne hii kutegemea Mwarabu kuja kutumikia watanzania.

Watawala wameshindwa kusimamia pato na rasilimali za nchi na Sasa wanatafuta Matajiri kuja kuwatumikia maskini. Uongo mkubwa ,hakuna tajiri anayemtumikia maskini.
Waarabu WATAKUJA kuwafanya WAAFRIKA kuwa watumwa na SIO kuwainua WAAFRIKA.

Anayewataka akakae nao huko kwao.

Hatupo tayari Kutawaliwa na wageni na kuuza usalama na uchumi Wa nchi Yetu . Ujasiri unaongezeka Siku Hadi Siku. Mungu anataka watu jasiri wasioogopa ukubwa na Nguvu za adui Bali mustakabali na kusudio la Mungu kuwaweka WAAFRIKA kwenye nchi ya Tanganyika .
Ushindi dhidi ya Wezi na waovu unakaribia sana . CCM itang'oka na weze wao kama watauza bandari zetu.
 
Inaelekea kuna kaubaguzi baguzi hivi katika maneno yako !
 
Inaelekea kuna kaubaguzi baguzi hivi katika maneno yako !
Mbaguzi ni Yule anayewabagua wanye nchi na kuwanyanhanya mali waliyoijenga Kwa Kodi zao na kumpa MTU Kwa misingi na Mkataba unaowatenga wenye Mali Kwa rushwa . Serikali inayoingia madarakani Kwa rushwa na mtutu Wa Bunduki kamwe haiwezi kuwathamini Wananchi maskini.
Kazi ya maskini ni kunyonywa Kwa Kodi kubwa na Kisha Kodi zinawajengea Matajiri Wa kigeni miradi kama Economic zones na Bandari wakusanye pesa na kuondoka zao kwenda kujenga nchi zao.

Hivi nyie hamuoni jinsi WAAFRIKA wanavyoteseka Duniani kote Tangu uvamizi ulipoanza Karne ya Kumi na mbili.

Achilia mbali ubaguzi unaowapata WAAFRIKA Duniani kote lakini pia hamuoni jinsi Kizazi cha Mwafrika kinavyohujumiwa kwenye Bara lao kuanzia Misry , Morocco,Algeria, Tunisia ,Libya,Sudán n.k.
Kizazi hiki hakijui kuwa Hata Zanzibar wakijitenga na Muungano wale weusi watachinjwa kama kuku . Muungano ndio unaowafanya wajiite sisi Watanzibar. Nje ya Muungano hakuna Sisi Watanzibar Bali kuna Sisi Wapemba na wale waunguja.mwisho Wa Yote watataka kuona Mkataba Wa Muungano Kati ya Pemba na Unguja. Wapemba watadai wametengwa kimaendeleo na Waunguja hawatakubali kuachia ulaji wanayoupata kupitia sera za CCM juu ya Muungano.

Hivi hamuoni jinsi wema Wetu Sisi Waafrika ulivyotufanya watumwa kwenye Rasilimali alizotupa Mwenyezi MUNGU?

Ni maskini Gani Afrika anayeweza kuoa au kuzaa na mtoto Wa Kihindi au mtoto Wa Kiarabu ?

Wabaguzi ni wanaowanyima ajira watu waaminifu na waadilifu Kwa sababu tu sio chawa wao Badala yake wanawapa bandari watu Wezi Kwa sababu ya ukada na uchawa!
Wabaguzi ni wale wanaowabagua watu Kwa misingi ya Vyama vyao matokeo yake wanawateua mawakili na WanaSheria wasio na sifa matokeo yake Bandari na nchi na usalama wake vinawekwa rehani Kwa MTU mmoja na familia yake Kwa mikataba ya kimangungo inayofanywa kwenye baa au gest.

Mbaguzi ni Yule anayewalinda Wezi na Mafisadi anahangaika na Mwanamziki anayewaburudisha na kuwaelimisha watanzania juu ya rasilimali zao na Umuhimu wa kuwafukuza Wezi kwenye nchi Yao.

Nchi ikivamiwa Kila mgeni anakua ni adui.
Nchi ikivamiwa tunatambuana wenye nchi.

Ndio Maana kule Libya na Sudani wanaopata mateso zaidí ni Wageni.

Hatumbagui MTU ila hatutaki Wezi wanaoletwa na wenyeji Ili watuibie kirahisi kama kwenye Madini ,gesi, wanyama, Viwanda vya sementi,viwanda vya sukari n.k.

Hawa Wezi Wageni Wakituibia Nani atawawajibisha?

Kule Loliondo wanatuibia Kwa Karibu miaka 30 . Wanaopata shida ni Wananchi waliolazimishwa kuitwa maskini na wanajengewa vijumba na kudanganywa kuwa wamepewa Kama hisani . MTU Ana n'gombe elfu Tatu halafu anapiga magoti Kwa Wanasiasa wakishirikiana mwekezaji Toka Dubai Ili ajengewe Nyumba ya vyumba viwili Tena baada ya kuhamishwa kwenye Ardhi yake ya asili Ili mgeni anufaike bila kujua nini hasa anachochangia kwenye uchumi Wa nchi na Kwa mkataba gani !!!! Yote ni Kwa sababu ya Wanasiasa kuwatenga wazawa kwenye Rasilimali zao.

Hakuna ubaguzi mbaya kama ubaguzi Wa kiuchumi unaofanywa na hao Wenzetu weupe Toka Ulaya,Amerika,Uarabuni,china ,India na kwingineko.

Sisi kamwe hatujawahi kuwanagua na kuwachikia ila wao Hata rangi zetu wanazochikia na kuzifananisha na Nyani na wanawashawishi viongozi Wetu watudharau.
 
Daah huo Mkataba ni wa kijinga sana nashangaa unahusisha mpaka wasomi kukosoa wakati huo hata wajinga wanaona makosa ila ukiona baadhi ya Wasomi haoni makosa jua pana tatizo hapo...
 
Jamaa walishaanza kupokea gahawa na tende za mwarabu
20141018_MAP004_0.jpg
 
Back
Top Bottom