Sekretarieti ya Maadili: Siyo kosa kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuliwa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo.

MY TAKE

Mifumo ya Nchi ya Tanzania yote imeparalyse tangu 29.10.2025. Hakuna utawala bora wala Utawala wa Sheria.. Ni bora liende ifike 2030 turudi kwetu Oman kutumbua hela za Watanganyika

---

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuli wa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo unaozingatia uhusiano kati ya mteuzi na mteuliwa.

Gerani alitoa ufafanuzi huo wakati akijibu swali lililoulizwa na mwandishi wa Pambazuko aliyetaka kujua sheria inasemaje kuhusiana na hatua ya baadhi ya viongozi wenye dhamana kuteua ndugu, jamaa na marafiki katika nafasi mbalimbali za uongozi.

Katika ufafanuzi wake, Gerani alisema kuwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi
nao wana haki ya kushika nafasi za uongozi ikiwa wana sifa za kushika nafasi hizo.

Hivyo, alifafanua, iwapo watateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi huku wakiwa na sifa, hata kama wana uhusiano wa kindugu na anayewateua, uteuzi wao hauna mawaa kisheria.

Mwandishi wa Pambazuko aliuliza swali hilo kufuatia malalamiko mitandaoni kuhusu baadhi ya viongozi wenye dhima kuteua ndugu na jamaa kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Aidha, kumekuwepo na malalamiko kuhusu watoto wa viongozi kupata kazi katika baadhi ya taasisi za umma.

Chanzo: Pambazuko

Pia soma
 
Attachments

SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuliwa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo.

MY TAKE

Mifumo ya Nchi ya Tanzania yote imeparalyse. Hakuna utawala bora wala Utawala wa Sheria.. Ni bora liende ifike 2030 turudi kwetu Oman kutumbua hela za Watanganyika
Lord jesus. Help us all
 
Kuna vitu vingine ni upuuzi kuvileta hapa. Ni akili za mwendawazimu tu anayeweza kufukilia hiyo the so called sekretalieti ya maadili itafanya ama kusema vingine kinyume cha bwana wao anayewapa nafasi ya 'kwenda chooni'
 
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuliwa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo.

MY TAKE

Mifumo ya Nchi ya Tanzania yote imeparalyse. Hakuna utawala bora wala Utawala wa Sheria.. Ni bora liende ifike 2030 turudi kwetu Oman kutumbua hela za Watanganyika
Hatuhitaji maelezo mengi! Mnamaliza miti na karatasi.
 
Yes, tunajua hivyo, lakini tumezoeshwa kwa viongozi waliotangulia, hayupo kiongozi aliyeteua mtoto na mkwe at the same time kwenye baraza la mawaziri.

Sawa sio sheria, ni desturi yetu, basi ni vyema tungeendelea kuifata ili kuonesha kwa vitendo utumishi wa umma sio sawa na umiliki wa kampuni binafsi, ambapo unaweza kumteua hata mchepuko uliyemuacha ilimradi ukimkumbuka awe karibu yako.
 
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuliwa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo.

MY TAKE

Mifumo ya Nchi ya Tanzania yote imeparalyse. Hakuna utawala bora wala Utawala wa Sheria.. Ni bora liende ifike 2030 turudi kwetu Oman kutumbua hela za Watanganyika
Yaani unauwa watoto wa watu wanaopinga ukosefu wa ajira halafu unateua wakwe ,na watoto wako kushika nafasi za juu za uongozi kweli?
 
Asanteni sana kwa mjadala huu muhimu na wa kuvutia! Ni kweli kwamba suala hili lina pande nyingi na linazua hisia tofauti miongoni mwa wananchi, na ni vizuri sana tunalijadili kwa uwazi.

Ni jambo la kufurahisha kuona tunajadili kwa kina masuala ya utawala bora na maadili katika uongozi wetu. Kauli ya Sekretarieti ya Maadili inatupa mwongozo wa kisheria, kwamba uteuzi ukizingatia sifa na uwezo wa mtu, hauwezi kuwa kosa la kisheria. Hii inasisitiza umuhimu wa sifa na uwezo wa mtu anayeteuliwa, bila kujali uhusiano wake.

Lakini pia siwezi kupuuza hoja za wengine, kama alivyosema denoo G, kwamba kuna desturi na matarajio ya jamii ambayo yanaweza kuonekana tofauti na tafsiri ya kisheria pekee. Ni muhimu sana kuendelea kujenga imani ya umma kwa kuonesha uwazi na kuepuka hata chembechembe za migongano ya maslahi. Kujali hisia za umma ni sehemu muhimu ya uongozi.

Kila mchango hapa unatukumbusha umuhimu wa kuendelea kudai uwajibikaji na kuhakikisha nafasi za umma zinawafikia wenye uwezo na sifa stahiki, iwe wana uhusiano na kiongozi au la. Tuendelee kujadili na kushauriana, kwa sababu lengo letu sote ni kuona nchi yetu inasonga mbele kwa misingi imara ya utawala bora na uwajibikaji. Mjadala kama huu unatusaidia sote kukua na kuelewa vizuri zaidi!
 
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuliwa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo.

MY TAKE

Mifumo ya Nchi ya Tanzania yote imeparalyse tangu 29.10.2025. Hakuna utawala bora wala Utawala wa Sheria.. Ni bora liende ifike 2030 turudi kwetu Oman kutumbua hela za Watanganyika
Upumbavu mtupu! Nyie ndio mnaoiangamiza hii nchi.
 
au labda kosa liko wap kwamfano gentleman?

maana karibu dunia nzima sheria iko hivyo 🐒
 
Back
Top Bottom