Sekretarieti ya Maadili: Siyo kosa kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki

Kwa sasa wenye sifa ni wengi sana kuliko nafasi za uteuzi,je hawa wanaoteuliwa na ndugu zao wamethibitisha sifa na uwezo stahiki?Ni vigezo gani utumika ili kuepuka mgongano wa maslahi,je hakuna athari hasi au chanya kwenye taasisi,mfano kuogopwa au kupendelewa???
 
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuliwa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo.

MY TAKE

Mifumo ya Nchi ya Tanzania yote imeparalyse tangu 29.10.2025. Hakuna utawala bora wala Utawala wa Sheria.. Ni bora liende ifike 2030 turudi kwetu Oman kutumbua hela za Watanganyika
WAchagga walipokuwa wanaitana na kujazana TRA na watu kuwalaumu "KWANINI HUU UFAFANUZI HAMKULETA?

Huu ufafanuzi unamhusu nani ambaye ameteua ndugu zake?
 
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuliwa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo.

MY TAKE

Mifumo ya Nchi ya Tanzania yote imeparalyse tangu 29.10.2025. Hakuna utawala bora wala Utawala wa Sheria.. Ni bora liende ifike 2030 turudi kwetu Oman kutumbua hela za Watanganyika

---

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuli wa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo unaozingatia uhusiano kati ya mteuzi na mteuliwa.

Gerani alitoa ufafanuzi huo wakati akijibu swali lililoulizwa na mwandishi wa Pambazuko aliyetaka kujua sheria inasemaje kuhusiana na hatua ya baadhi ya viongozi wenye dhamana kuteua ndugu, jamaa na marafiki katika nafasi mbalimbali za uongozi.

Katika ufafanuzi wake, Gerani alisema kuwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi
nao wana haki ya kushika nafasi za uongozi ikiwa wana sifa za kushika nafasi hizo.

Hivyo, alifafanua, iwapo watateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi huku wakiwa na sifa, hata kama wana uhusiano wa kindugu na anayewateua, uteuzi wao hauna mawaa kisheria.

Mwandishi wa Pambazuko aliuliza swali hilo kufuatia malalamiko mitandaoni kuhusu baadhi ya viongozi wenye dhima kuteua ndugu na jamaa kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Aidha, kumekuwepo na malalamiko kuhusu watoto wa viongozi kupata kazi katika baadhi ya taasisi za umma.

Chanzo: Pambazuko

Pia soma
Basi kwa kila ndugu yangu ambae anaweza kunipa ajina mimi ama mwanafamilia yangu,msisite kufanya hivyo tunaambiwa ni halali,iwapo sifa zipo.
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Mama hakukosea kusema mkwilima ana kifua kipana maana kuoa mke ambaye unajua jamaa fulani alikuwa anachovya na kapewa uteuzi siyo ya kifua kidogo vinginevyo unaweza ingiwa na hofu kuwa mwamba anaendelea kuchovya na amekula teuzi kwa mgomgo wa nkeo.
 
In English wanasema... "if it's not forbidden, it's allowed"

Kama haijakatazwa, maana yake imeruhusiwa. Kama hakuna sheria dhidi ya kuteua ndugu kwenye nafasi za uongozi, maana yake imeruhusiwa

Mwaka 1961 rais wa Marekani JFK alimteua mdogo wake wa kiume kuwa Attorney General, nafasi ya AG Marekani sio kama huku kwetu, inahusika mpaka na kusimamia FBI. Watu walikerwa, lakini hakukuwa na sheria ya kukataza! Baadae wakatunga sheria za kuzuia baadhi ya vyeo watu kuteua ndugu zao.

Ila Trump alivyoingia madarakani akaamua kuteua ndugu zake kuwa "Washauri" wa Ikulu

Mwisho wa siku, uongozi sio sheria tu, ni nidhamu kwanza. Leo hii kuna watoto wa viongozi hawana cheo nafasi zozote lakini wanogopwa kuliko Prime Minister
 
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuliwa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo.

MY TAKE

Mifumo ya Nchi ya Tanzania yote imeparalyse tangu 29.10.2025. Hakuna utawala bora wala Utawala wa Sheria.. Ni bora liende ifike 2030 turudi kwetu Oman kutumbua hela za Watanganyika

---
SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma imesema siyo kosa kisheria kwa kiongozi mwenye dhamana kuteua ndugu, jamaa au marafiki kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Uteuzi huo hauwezi kuwa kosa kisheria iwapo utazingatia sifa za mtu anayeteuli wa, wamesema maofisa wa tume hiyo wakati wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria ndani ya sekretarieti hiyo, Emma Gerani aliwaambia wahariri kuwa kosa linaweza kuwepo iwapo uteuzi huo utafanywa kwa upendeleo unaozingatia uhusiano kati ya mteuzi na mteuliwa.

Gerani alitoa ufafanuzi huo wakati akijibu swali lililoulizwa na mwandishi wa Pambazuko aliyetaka kujua sheria inasemaje kuhusiana na hatua ya baadhi ya viongozi wenye dhamana kuteua ndugu, jamaa na marafiki katika nafasi mbalimbali za uongozi.

Katika ufafanuzi wake, Gerani alisema kuwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi
nao wana haki ya kushika nafasi za uongozi ikiwa wana sifa za kushika nafasi hizo.

Hivyo, alifafanua, iwapo watateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi huku wakiwa na sifa, hata kama wana uhusiano wa kindugu na anayewateua, uteuzi wao hauna mawaa kisheria.

Mwandishi wa Pambazuko aliuliza swali hilo kufuatia malalamiko mitandaoni kuhusu baadhi ya viongozi wenye dhima kuteua ndugu na jamaa kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Aidha, kumekuwepo na malalamiko kuhusu watoto wa viongozi kupata kazi katika baadhi ya taasisi za umma.

Chanzo: Pambazuko

Pia soma
Nilibahatika kushiriki kikao hicho, Pambazuko wameshindwa kuikamilisha hoja hiyo, kwasababu iliibuliwa wakati wa kujadili mada ya mgongano wa kimaslahi kwa viongozi wa utumishi wa umma, yaani conflict of interest, mwandishi swali la msingi lilikuwa ni kwanini Tanzania tusifuate kanuni ya conflict of interest ya nchi za Skandvian na Nordic, kama Sweden, Norway, Denmark na Iceland, mtu ukiwa kiongozi wa taasisi yoyote, huruhusiwi kumteua ndugu yako yoyote au rafiki yako yoyote!. Rais hawezi kumteua mwenza, mtoto and ndugu, na ikitokea kuna rafiki ameomba nafasi fulani ya uteuzi, then rais ana delegate powers za uteuzi kwa mtu mwingine, to avoid conflict of interest.

Ila vitu vingine ni issues tuu za IQ na common sense!.

P
 
Hapa malawi nani anatumia IQ ama common sense unavyoona,ndio maana tumekwama.
 
au labda kosa liko wap kwamfano gentleman?

maana karibu dunia nzima sheria iko hivyo 🐒

Unamaanishisha chura ana IQ ndogo au??
 
Ndio kuna uhusiano mkubwa sana kati ya IQ ,dini na longevity ya mtu.
Dini hasa ya kislamu ina athiri IQ ya mtu kwa kiasi kikubwa,athari yake kubwa ni kuishusha IQ ya mtu(kebe et al,1890),kwa hiyo kama mtu huyu alikuwa katika project fulani automatic longevity ya project hiyo lazima ishuke,kwa case ya Tanzania tunaona chura kiziwi ana IQ ndogo kutokana na dini aliyo nayo inayoongozwa na mihemko sio matumizi ya akili,kwa hiyo longevity yake katika utawala ni fupi sana. Period
 
Sawa naona hoja inatetewa kikamilifu..Vip kwa ule uteuzi ambao anapewa ndugu jamaa au rafiki ambeye tayari anawadhifa fulani halafu anaongezewa wadhifa mwingne yaani anakuwa na vyeo wiwili au vitatu huku wengine wakiambiwa ajira hakuna. Bwana sekretarieti hapo sheria inasemaje? mfano, ni mbunge niwazili ni mwenyekiti wa bodi ya kitufani.n.k
 
Back
Top Bottom