Sio kweli serikali imeshindwa kupanga majukumu yake kwasababu ni primary duty ya serikali kutoa free en quality education kwa kila raia na pia kumwekea mazingira ya kupata ajira, law of demand en supply is not applicable kwa kila situation mkuu, kama ndo hivo dawa za maleria zingekua gari kuliko za RVA, kwasababu demand ya ant virus ya maleria iko juu sanaa.prices are determined by the relationship between supply and demand, serikali inaheshimu hiyo Law of Supply and Demand
Mkuu ungewashauri wafanye je ili waweze kupata ulaji ili waendelee kuishi hujui kule wanako enda kujitolea wanapata luch bure.Vijana wanaojitolea kuna sehemu hawajafikiri vizuri
pole mkuuKutokana na u jobless nilishawahi kwenda kiwandani kujaribu bahati, nilirudi mgonjwa na kesho yake sikurudi kazini ,si Kwa Kazi Ile nzito vile na malipo 4500 Kwa siku , bado hujala hapo. Nyie acheni tu.
Kitu wasichokijua wasomi jobless wengi walioko Tanzania baadhi ya viongozi waliopo serikalini wanafurahi kwelikweli wakiona msomi anatesekaKuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira hasa kwa wasomi "skilled labour force" sekta binafsi ni wazee wa fursa wameanza kutumia hizo fursa ipasavyo ili wa accumulate wealth.
Kwasababu uzalishaji wao wasomi uko juu ukilinganisha na ukuaji wa ajira, nationa economic growth vs national population growth. The later is greater than the former.
Jama angu ametangaza kazi ya wa hasibu 7 wa msaidie kwenye kazi za auditing, kazi zake za msimu kapata maombi ya wahasibu zaidi ya 90 ndani ya wiki moja wenye kiwango cha CPA na kwasabu ni wengi hawapi ajira moja kwa moja badala yake ni kuwapa weekly allowance ya 90k per wiki kwa miezi 3 tu, ingekua miaka kama 10 nyuma sio chini ya 10m zingeenda kuwalipa hao kwa kazi kama hiyo.
Kweli mtu upoteze zaidi ya miaka 7 na ada juu unasoma CPA uje ulipwe 90k kwa wiki, wanao jua hizo kazi mnajua jinsi zilivyo kua tiresome, elimu yetu imekua irrelevant kabisa kwasasa.
Kuna rafiki katanganza kufungua shule ya sekondari mkoani ila maombi yaa waalimu ni mengi kupita maombi ya wanafunzi, na anasema mshahara wake kwa waalimu hautazidi 300k kwa mwezi kwa atakae kubali, serikali imezidiwa na wimbi la watafuta ajira, lakini bado inaendelea kutoa mikopo kwa kozi zile zile.
Kweli hatuna strategic planners wa nchi hi. Kuna kozi zifutwe kabisa elimu yetu haitowi fursa ya mwanafunzi kujiajiri haina creativity ni knowledge based education system "rote system" we produce what we don't consume, imagine mtu anasoma BA sociology bsc batony, zoology bsc physics nk. hizo degree hazina maana. Yoyote katika soko la ajira
Kwanini wa furahi wakati wanajua kwamba hilo la kukosa ajira ni hateri sanaa kwa uchumi wa nchi yetu.Kitu wasichokijua wasomi jobless wengi walioko Tanzania baadhi ya viongozi waliopo serikalini wanafurahi kwelikweli wakiona msomi anateseka
Vamia pori moja ndo utaelewa ubepari ni nini? Hayo mengi akiba ya vigogo wa serikali wana hati miliki kabisa."Nchi ina mapori ya kutosha, vijana msisubiri ajira, mkalime"- Alisikika mkurugenzi mwenye kitambi kama kaficha friji.
Tabu tupu.Vamia pori moja ndo utaelewa ubepari ni nini? Hayo mengi akiba ya vigogo wa serikali wana hati miliki kabisa.
Mkuu ungewashauri wafanye je ili waweze kupata ulaji ili waendelee kuishi hujui kule wanako enda kujitolea wanapata luch bure.
Mkuu Law of supply and demand doesn't apply on essential commodities kama elimu afya nk
Mbona Zanzibar hakuna hayo mambo na sio mbali .
Ukiachana na elimu duni Ila bado kuna utofauti mkubwa wa Zanzibar na Tanzania.
Sawa zipo ila zinahitaji mtaji fulani au connection fulani, naomba utatajie aina mbili ya hizo kazi ambazo haxihitaji hata shilling moja, ondoa ya kilimo kwasbb ni gharama kuanzisha kilimo kwa namna yoyote.Kuna kazi nyingi Sana Mkuu zakufanya ambazo hazihitaji hata shi. Mia ya mtaji
Mkuu huo sio mfano sahihi, ulaya (UK) kitu ambacho kina high demand af ni very cheap ni usafiri wa train gari ndege na basi, pili ni matibabu hospitali ni almost free ni kwasbabu ni essential commodities serekali ina regulate, je jiulize uko law of demand yako na supply haifanyi kazi?kama ni rahisi Anzisha wewe hospital yako kisha uwalipe hata hizo laki 3
Zanzibar wana wasomi wa elimu dunia wachache kuliko fursa za ajira zilizopo.
Hivyo law of demand and supply inafanya kazi yake hapo zanzibar
Mkuu huo sio mfano sahihi, ulaya (UK) kitu ambacho kina high demand af ni very cheap ni usafiri wa train gari ndege na basi, pili ni matibabu hospitali ni almost free ni kwasbabu ni essential commodities serekali ina regulate, je jiulize uko law of demand yako na supply haifanyi kazi?
Hiyo law ina apply kwa soko la ajira za private, regulation za minimum pay kwa private institutions zipo, ila watu wako desperate kukubali any salary termsSio kweli serikali imeshindwa kupanga majukumu yake kwasababu ni primary duty ya serikali kutoa free en quality education kwa kila raia na pia kumwekea mazingira ya kupata ajira, law of demand en supply is not applicable kwa kila situation mkuu, kama ndo hivo dawa za maleria zingekua gari kuliko za RVA, kwasababu demand ya ant virus ya maleria iko juu sanaa.
Mkuu pia huwezi kuelewa kwa kutoa prices quote bila kuzingatia GDP ya nchi husika, kwa mfano moja kawaida Lisa kwa kibarua unskilled unalipwa £5@ kwa siku massa 8 ni £40 ambazo ni sawa sawa na roughly 170,000Tz shilling hiyo pesa anaweza kupanda train kuenda n kurudi kula na kutibia kibarua wa Tanzania anapata 10,000 kwa siku hawezi kutoa nauli lunch na kutibiwa, hapo huwezi kuona wapi mambo yako chini kulingana na standarnd of living, sijui kam utanielewa hapo.Fanya mambo kwa ushahidi
Weka nauli za treni za ulaya kisha tulinganishe na hapa Tanzania
Weka nauli za ndege za ulaya tulinganishe na hapa Tanzania.
Hapo tutapata ukweli.. screenshot zitaonesha
Sawa zipo ila zinahitaji mtaji fulani au connection fulani, naomba utatajie aina mbili ya hizo kazi ambazo haxihitaji hata shilling moja, ondoa ya kilimo kwasbb ni gharama kuanzisha kilimo kwa namna yoyote.