Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mkuu umeshasema nchi zilizoendelea, jeesisi tumeendelea? tuna safari ndefu kufika huko walipo.
Zanzibar imeendelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeshasema nchi zilizoendelea, jeesisi tumeendelea? tuna safari ndefu kufika huko walipo.
Kozi nyingi sana zinatakiwa zifutwe!Kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira hasa kwa wasomi "skilled labour force" sekta binafsi ni wazee wa fursa wameanza kutumia hizo fursa ipasavyo ili wa accumulate wealth.
Kwasababu uzalishaji wao wasomi uko juu ukilinganisha na ukuaji wa ajira, nationa economic growth vs national population growth. The later is greater than the former.
Jama angu ametangaza kazi ya wa hasibu 7 wa msaidie kwenye kazi za auditing, kazi zake za msimu kapata maombi ya wahasibu zaidi ya 90 ndani ya wiki moja wenye kiwango cha CPA na kwasabu ni wengi hawapi ajira moja kwa moja badala yake ni kuwapa weekly allowance ya 90k per wiki kwa miezi 3 tu, ingekua miaka kama 10 nyuma sio chini ya 10m zingeenda kuwalipa hao kwa kazi kama hiyo.
Kweli mtu upoteze zaidi ya miaka 7 na ada juu unasoma CPA uje ulipwe 90k kwa wiki, wanao jua hizo kazi mnajua jinsi zilivyo kua tiresome, elimu yetu imekua irrelevant kabisa kwasasa.
Kuna rafiki katanganza kufungua shule ya sekondari mkoani ila maombi yaa waalimu ni mengi kupita maombi ya wanafunzi, na anasema mshahara wake kwa waalimu hautazidi 300k kwa mwezi kwa atakae kubali, serikali imezidiwa na wimbi la watafuta ajira, lakini bado inaendelea kutoa mikopo kwa kozi zile zile.
Kweli hatuna strategic planners wa nchi hi. Kuna kozi zifutwe kabisa elimu yetu haitowi fursa ya mwanafunzi kujiajiri haina creativity ni knowledge based education system "rote system" we produce what we don't consume, imagine mtu anasoma BA sociology bsc batony, zoology bsc physics nk. hizo degree hazina maana. Yoyote katika soko la ajira
Ualimu uboreshwe tu ni kozi muhimu sanaa katika jamii ila umedhalilishwa na watunga sera wetu.Kozi nyingi sana zinatakiwa zifutwe!
Mfano, Ualimu, maendeleo ya jamii,misitu, HR, uhasibu etc
Zanzibar imeendelea?
Inaumiza kwa kweli.Kutokana na u jobless nilishawahi kwenda kiwandani kujaribu bahati, nilirudi mgonjwa na kesho yake sikurudi kazini ,si Kwa Kazi Ile nzito vile na malipo 4500 Kwa siku , bado hujala hapo. Nyie acheni tu.
HatariiiiKama MD analipa 200k kweli hiyo ni disaster mbaya mtu kasoma miaka 6 kwa kujinyima af amaliza apewe peanuts, ni ishara tosha kwamba elimu haina maana kabisa, unakuta vijana wengi wamekata tamaa eti wanataka kujitolea bila malipo kumbe wanafikiri kwa kujitolea ndo watapewa ajira badaye wanamaliza wameangukia pua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Nchi ina mapori ya kutosha, vijana msisubiri ajira, mkalime"- Alisikika mkurugenzi mwenye kitambi kama kaficha friji.