Sekta binafsi kufaidika na cheap skilled labour force kwa sababu ya ukosefu wa ajira nchini

Lakini ni jukumu la serekali kufanya regulations kupitia tasisi zake kam TCU necta na nacte ili kutoa elimu ambao ni relevant
Mfumo mpya una adress hili, vyuo vikuu vingi havina issue, vina zalisha tu watu wasio na Ajira, wapelekwe technical schools design za VETA, wakajifunze skills zinazohitajika mtaani.
 
Ahsante mkuu, ila hivyo vyote vinahitaji mtaji usio pungua 1m na kuendelea hizo, pesa kwa watanza nia sasa hivi ni ngumu kupatikan.
 
Wewe ni muongo. Hakuna nchi ambayo matibabu ni gharama kuliko marekani

Mfumo mpya una adress hili, vyuo vikuu vingi havina issue, vina zalisha tu watu wasio na Ajira, wapelekwe technical schools design za VETA, wakajifunze skills zinazohitajika mtaani.
Ila kazi za wenye ujuzi wa veta ajira zinapatikana au ni yale yale tu.
 
Ahsante mkuu, ila hivyo vyote vinahitaji mtaji usio pungua 1m na kuendelea hizo, pesa kwa watanza nia sasa hivi ni ngumu kupatikan.

Mambo hayo hayahitaji pesa isipokuwa AKILI yako na Mbinu tuu.

Ukitaka kwa haraka pesa utatoa lakini ukiwa na mipango hutotoa hata shilingi Moja.
Unaanza kidogokidogo, kadiri unavyopata uzoefu na jina kukua unapata pesa za kukuwezesha kuishi na kuwekeza kwenye Yale mambo yanayohitaji pesa.

Nitakupa Mfano;

1. 2016 Nikiwa Chuo mwaka wa tatu. Nilijenga urafiki na fundi cherehani Mmoja pale Sinza.
Kiasi kwamba tulikuwa kama ndugu. Nikamwambia anifundishe Kushona NGUO na nitamlipa kwa mwezi elfu 40 kwani ndivyo alivyokuwa anawafanyia wengine.

Kutokana na uhusiano wetu akasema atanifundisha bure,wakati huo tayari Nina idea ya kushona kwani Muda mwingi nilikuwa nakaa pale hivyo nilikuwa nashona viraka.

Baadaye akanifunisha, nikaweza Kabisa ndani ya miezi sita.
Nikaanza kupiga pesa, ya hapa na pale nikanunua machine ya kushona nguo.
Tunamaliza Chuo tayari Nina kitu nafanya na naingiza pesa.
Kuwaza kurudi kijijini au Kutembeza bahasha nikaweka pembeni.

Baadaye nikaanzisha biashara nyingine 2018 huku Ile nyingine ya kushona nikiwa nimeanzisha OFISI ya kushona na kuweka vijana wawili hapo.

Sio Jambo rahisi kwani linahitaji Muda, utulivu na uhusiano mzuri na wanaokuzunguka
 
Sasa kama ni skilled na cheap mbona hatupati uwekezaji kutoka nje kama china iliyopata miaka hiyo?
 
Labda kama huna bima au Green card serikali ina subsidise health en education, unakuta kwa mtu wakaida ina kua gharama nafuu hata wanakopesha kama huna cash, serilali inakulipia tu
 
Hali si nzuri, Hali ni mbaya mnoo. Kama una mdogo wako na wewe umesimama kidogo jaribu kumbeba, mpe nafasi naye aanze kusimama. Vijana wako hoi, siku hizi hata ukitangaza nafasi moja ya kada yyte ile popote pale basi tegemea makumi na makumi ya vijana kuomba na wanatia huruma kweli na wengi wako DSM wamejaa sana.
 
Labda kama huna bima au Green card serikali ina subsidise health en education, unakuta kwa mtu wakaida ina kua gharama nafuu hata wanakopesha kama huna cash, serilali inakulipia

wewe ni muongo, mamilioni ya wamarekani wanashindwa kwenda hata kumuona daktari sababu hawamudu gharama, screen shot ya ushahidi hii hapa chini

Kulipa ada sio issue ila unalipia hiyo ada kwa kusoma kozi gani? Mtoto anasoma HKL Advance unalipia ada yake 3m anaenda chuo anasoma B.A tourism, huo ni ignorance na utumiaji vibaya pesa yako utakuja kujutia bure.
Nimelia sana😮‍💨ina maana kwani Huyu wa tourism kwanini wazazi wasmpe mtaji kachukue Ata dinga moja la usafirishaji tourist mkuu,
 
wewe ni muongo, mamilioni ya wamarekani wanashindwa kwenda hata kumuona daktari sababu hawamudu gharama, screen shot ya ushahidi hii hapa chini

View attachment 3243876

View attachment 3243874
Mkuu hilo na kubali ila Tanzania hata pesa ya kutibu maleria watu wanashindwa, sio pressure heart disease typhoid tu ni ngumu kulipia matibabu, ukianza kujilinganisha na Ulaya utakua ujitendee haki.
 
Labda kama huna bima au Green card serikali ina subsidise health en education, unakuta kwa mtu wakaida ina kua gharama nafuu hata wanakopesha kama huna cash, serilali inakulipia tu

Mkuu sasa naomba ujue kama marekani wana struggle Tanzania wanakufa kabisa na maiti kudaiwa zina zuiliwa mpaka zilipiwe matibabu japo zimekufa

hata marekani wanakufa kwa kutomudu gharama za matibabu,,, vyombo va habari vinaripoti, nakuwekea ushahid wa screen shot

Mkuu hilo na kubali ila Tanzania hata pesa ya kutibu maleria watu wanashindwa, sio pressure heart disease typhoid tu ni ngumu kulipia matibabu, ukianza kujilinganisha na Ulaya utakua ujitendee haki.

kama unakubali mbona ulisema uongo mwanzoni kwamba majuu serikali zao zimeweka huduma muhimu bure ?
 
Nimelia sana[emoji50]‍[emoji100]ina maana kwani Huyu wa tourism kwanini wazazi wasmpe mtaji kachukue Ata dinga moja la usafirishaji tourist mkuu,
Bei ya hilo dinga itatoka wapi,kwanza vijana wa tanzania wanachelewa sanaa kujitambua kwamba kazi ni muhimu anakuja kujitambua tayari kasha mpa mtu mimba.
 
Hiyo pesa mi namlipa fundi ujenzi na kibarua wake kwa siku kwa tofali za kuuziana…, daah..

Vijana someeni taaluma kwanza za ufunddi stadi kisha ndio mkasomee rubber stamp jobs.., ili muwe na mbadala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…