Sekta binafsi kufaidika na cheap skilled labour force kwa sababu ya ukosefu wa ajira nchini

Kozi nyingi sana zinatakiwa zifutwe!
Mfano, Ualimu, maendeleo ya jamii,misitu, HR, uhasibu etc
 
Kozi nyingi sana zinatakiwa zifutwe!
Mfano, Ualimu, maendeleo ya jamii,misitu, HR, uhasibu etc
Ualimu uboreshwe tu ni kozi muhimu sanaa katika jamii ila umedhalilishwa na watunga sera wetu.
 
Kutokana na u jobless nilishawahi kwenda kiwandani kujaribu bahati, nilirudi mgonjwa na kesho yake sikurudi kazini ,si Kwa Kazi Ile nzito vile na malipo 4500 Kwa siku , bado hujala hapo. Nyie acheni tu.
Inaumiza kwa kweli.
 
Hatariiii
 
"Nchi ina mapori ya kutosha, vijana msisubiri ajira, mkalime"- Alisikika mkurugenzi mwenye kitambi kama kaficha friji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…