Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ndugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku.
Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya kuchagua kazi. Huko ni kujichelewesha kufanikiwa kijamii, kisiasa na kiuchmi.
Ni vizuri kutumia ujuzi na maarifa tuloyapata masomoni na kutumia vema fursa na nafasi mballimbali za ajira hususani kwenye sekta ya kilimo katika kuchochea mageuzi ya kilimo, kujikimboa kiuchumi, uhakika wa chakula nchini na kuimarisha pato la Taifa kwa ujumla.
Kuanzisha harakati zisizo na tija, ni kujipotezea wakati na kujtumbukiza kwenye mizozo na matatizo yasio na kichwa wala maskio na kuleta usumbufu kwa wazazi.
Ni vizuri sana wakajihadhari na utapeli wa vibaka wa kisiasa wenye lengo na dhamira ya kutumia kama shield ya kutimiza malengo yao binafsi kisiasa, hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Taifa mapema October mwaka huu 2025.
Kumbukeni,
uchaguzi mkuu wa Tanazania kwa mujibu wa katiba ni October mwaka huu 2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania