Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,Waambie machawa wenzio mimi nikiuza Ankole 5 tu Comoro nakulisha wewe na machawa wenzio na usinipotezee muda wewe unayeshinda nyuma ya keyboard ukitunga uongo..
Unajaribu Ku brain wash watu wasiofahamu vizuri Kilimo we mpuuzi. Unafikiri Kilimo hatukifahamu jinsi kilivyo?endelea kutapeliwa pesa na vibaka wa siasa, ukajidanganya na kunadhani watakusaidia,
my friend,
you will end up maskini,
ajira ziko shambani 🐒
Hujaelewa message yangu.... Nimesema "ukiona sehemu ya watu" wako kwenye kilimo sio dalili nzuri. Huko Brazil, Russia na Ukraine wanafanya kilimo cha tija, tafuta takwimu za asilimia ngapi ya wananchi wake ni wakulima. Hauwezi ukawa na nchi 60% ni wakulima.Gentleman,
kwahiyo Russia na Ukraine ni maskini sana right?
na Brazil walima sukari je?
kwanini unajipa moyo kivivu na kuwaza kimaskini hivyo na kujikatisha tamaa mwenyewe ?🐒