Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kilimo chenye tija kina hitaji mataji wa kutosha pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi sasa nchi yote ni soko ya kila kitu hususani nafaka gentleman,Ukilima unauza wapi?????
Dar ina watu karibia 3 million,wanalima wapi?
Gentleman,Ukiona nchi sehemu kubwa ya watu wake wanajihusisha na kilimo, hiyo ni nchi masikini
Mtaji fedha sio bla bla bla, pembejeo n.k utanunua na nini?uko sahihi gentleman,
mtaji wako ni ardhi ile ya pale nyumbani kwenu ambayo wazazi hawaitumii tena.
Nenda ukaanze nayo hiyo na uitumie kisomi 🐒
nawaonea huruma vijana wanaozurura na kupoteza muda kusaka ajira tangu wamehitimu masomo yao 2014,Ni ajira nzuri kwa kweli ila mentality ya kusoma ilikuwa ni kuajiriwa tu. Sasa kama mzazi mwenyewe haoni na hafikirii kuwa kuna fursa kubwa katika kilimo, huyo mtoto wake anayemsomesha ataonaje?
unaishi mkoa gani gentleman?Mtaji fedha sio bla bla bla, pembejeo n.k utanunua na nini?
Pumbavu mkubwa .. mimi nipo Agri industry miaka mingi, wewe si unalima nyuma ya keyboard unataka kuwalisha matangopori watoto wa watu unazijua changamoto za kilimo wakati wewe unategemea hela ya uchawa kuendesha maisha...punguza mihemko na makasiriko gentleman,
acha uvivu na uoptoshaji .
kilimo ndio jambo muhimu la kukuepusha na stress za kiuchmi
unyonge wa kiuchmi unafanya vijana wengi kua wakali na majasiri sana kuporomosha matusi mazito, sijui kwanini 🤣Pumbavu mkubwa .. mimi nipo Agri industry miaka mingi, wewe si unalima nyuma ya keyboard unataka kuwalisha matangopori watoto wa watu unazijua changamoto za kilimo wakati wewe unategemea hela ya uchawa kuendesha maisha...
Wadanganye wapumbavu wenzio . unafikiri kilimo ni kushinda nyuma ya keyboard ukisifia watawala ? kilimo kinahitaji uwekezaji,na nyakati zingine una bet kulingana na climate change..unyonge wa kiuchmi unafanya vijana wengi kua wakali na majasiri sana kuporomosha matusi mazito, sijui kwanini
kumdanyanya kijana mvivu ni unyanyasaji wa kisakolojia,Wadanganye wapumbavu wenzio . unafikiri kilimo ni kushinda nyuma ya keyboard ukisifia watawala ? kilimo kinahitaji uwekezaji,na nyakati zingine una bet kulingana na climate change..
Waambie machawa wenzio mimi nikiuza Ankole 5 tu Comoro nakulisha wewe na machawa wenzio na usinipotezee muda wewe unayeshinda nyuma ya keyboard ukitunga uongo..Wadanganye wapumbavu wenzio . unafikiri kilimo ni kushinda nyuma ya keyboard ukisifia watawala ? kilimo kinahitaji uwekezaji,na nyakati zingine una bet kulingana na climate change..
Nonsense! Things aren't easy as you thinkNdugu vijana wenzangu Tanzania, hongereni kwa majukumu ya kila siku.
Mawaidha yangu muhimu kwenu leo, ni kuwaomba rafiki zangu wasomi wasaka ajira, kujitenga na uvivu lakini pia kuacha tabia ya kuchagua kazi. Huko ni kujichelewesha kufanikiwa kijamii, kisiasa na kiuchmi.
Ni vizuri kutumia ujuzi na maarifa tuloyapata masomoni na kutumia vema fursa na nafasi mballimbali za ajira hususani kwenye sekta ya kilimo katika kuchochea mageuzi ya kilimo, kujikimboa kiuchumi, uhakika wa chakula nchini na kuimarisha pato la Taifa kwa ujumla.
Kuanzisha harakati zisizo na tija, ni kujipotezea wakati na kujtumbukiza kwenye mizozo na matatizo yasio na kichwa wala maskio na kuleta usumbufu kwa wazazi.
Ni vizuri sana wakajihadhari na utapeli wa vibaka wa kisiasa wenye lengo na dhamira ya kutumia kama shield ya kutimiza malengo yao binafsi kisiasa, hasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Taifa mapema October mwaka huu 2025.
Kumbukeni,
uchaguzi mkuu wa Tanazania kwa mujibu wa katiba ni October mwaka huu 2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania