Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Haya yoote tunakubalina na wewe, ishu yetu ni moja tu. Mkataba urekebishwe uwe katika mode ya win win situation. Ila ukibaki kama ulivyo, basi uwanufaishe na ndgu zetu wa Zanzibar na bandari zao ziwepo kwny mkataba.
Kwani mkataba una shida gani?
 
Ni kichaa peke yake anaweza kuelewa ulichokiandika hapa. Yaan umekuja kumpigia chapuo sa100 na kumponda mtangulizi wake. Ni kweli posta ilibaki magofu?? Wewe ni kichaa????
 
Ni kichaa peke yake anaweza kuelewa ulichokiandika hapa. Yaan umekuja kumpigia chapuo sa100 na kumponda mtangulizi wake. Ni kweli posta ilibaki magofu?? Wewe ni kichaa????
Kwani posta haikubakia magofu tupu yasiyo na wapangaji?

Kwani Yale majengo ya nssf posta yalimalizika?
 
Ni kweli 👍👍👍💯💯
 
Wewe na Prof.Assad yupi ni mwelewa? Ndio Mwambukusi kawadanganya? 😂😂

Kwani mwana umepewa bei gani upigie debe usichokijua? Watu hawapingi uwekezaji isipokuw mkataba urekebishwe. Wewe unadhani hao Dubai wana njaa au wanatafuta tonge la wajukuu zao, wakti wewe mtumwa mweusi unapambana rupee vipande viwili vya sasa lakn hujali Hatma ya wajukuu zako.

prof shivji Bingwa wa sheria kasema hapana, mchumi Assad hajui sheria ila Udini unamtoa kwenye reli
 
Wewe unakijua kipi? Kwa taarifa Yako wafanyabiashara wanataka hata kesho DP World aje ni nyie wapuuzi ambao hamjui hata kinachofanyika bandarini ndio mnaongea ujinga wenu hapa.
 
Wewe unakijua kipi? Kwa taarifa Yako wafanyabiashara wanataka hata kesho DP World aje ni nyie wapuuzi ambao hamjui hata kinachofanyika bandarini ndio mnaongea ujinga wenu hapa.

Hata sisi wapuuzi tunataka dp aanze kesho, ombi letu ni ama mkataba wao na bandari urekebishwe kama haiwezekani basi na bandari zenu za Zanzibar zijumuishwe kwny mkataba.
 
Hata sisi wapuuzi tunataka dp aanze kesho, ombi letu ni ama mkataba wao na bandari urekebishwe kama haiwezekani basi na bandari zenu za Zanzibar zijumuishwe kwny mkataba.
Hakuna kitakachobafilika na mkataba utaenda kama ulivyopangwa, umbumbumbu wenu usiwe kero Kwa wengine
 
Dikteta magufuli aliharibu uchumi
WB IFM waliipeleka tanzania uchumi wa kati tena kipindi kigumu cha Corona wakati uchumi wa mataifa mengi ulisinyaa,Wwe kidampa kula kulala unasema Magufuli aliaribu uchumi,leta takwimu unashangiria uchumi wa mafisadi wachache nenda vijijini uone watu wanavyoteseka maji amna umeme shida watu wanakula vumbi.
 
Wewe uchumi wako ulifika wa kati? Acha porojo actual situation mtaani Kila mtu alikuwa anaijua.

Kwanza ukionekana Inajenga unazna kufuatiliwa ubambikiwe kesi ya Kodi.
 
Wewe uchumi wako ulifika wa kati? Acha porojo actual situation mtaani Kila mtu alikuwa anaijua.

Kwanza ukionekana Inajenga unazna kufuatiliwa ubambikiwe kesi ya Kodi.
Nimekwambia leta takwimu, uchumi sio maneno eti kuona jirani kajenga kibanda eti uchumi umekua,hata wakati wa Magufuli majengo pale Morocco na posta yalijengwa,majengo yalikwama niya NHC kwasababu Magufuli aliwanyima dhamana ya Serikali kwenda kukopa mikopo,akisema wajitegemee maana wanafanya biashara, Sasahivi shilling imeporomo zaidi ya dollar alafu unasema Magufuli aliaribu uchumi tafuta chenji ya dollar kipindi cha Magufuli linganisha na Sasahivi uone
 
Kwanza mada inahusu nini? Umesoma maelezo na mifano hapo Juu? Kwa kutumia mfano wa miradi ya NHC iliyokwama wewe kwako unaona uchumi ulifaulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…