Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Bei ya cement ingepungua tungeku mbali

Kuna faida kubwa zaidi kwenye finished house kuliko mfuko a cement
 
Magufuli si mjamaa, hakuwahi kuwa mjamaa, sera zake zilikuwa sa Sukuma Gang!
 
We Kwa akili zako Parastatals zinaweza kujenga viwanda? Mbona hatukuona hivyo viwanda zaidi ya vyerehani?

Viwanda vinajengwa na private sector ambayo alisababisha ikafa.
 
We Kwa akili zako Parastatals zinaweza kujenga viwanda? Mbona hatukuona hivyo viwanda zaidi ya vyerehani?

Viwanda vinajengwa na private sector ambayo alisababisha ikafa.
Kweli we kilaza kweli, unajuwa maana ya ushauli
 
Yule Mwendazake mnamlaumu Bure,Kila siku nawaambia Ujamaa ni umaskini ujamaa ni utaahira ,,ogopeni sana watu wa hivyo popote mkiwaona
Hata huyo Samia anachofanya ni ujamaa tuu, ni serikali ya hovyo tuu ndio inajihususha na biashara ya nyumba, wawaachie private sector wafanye kazi yao wapige hela uchumi ukue, kazi ya serikali ni kuhakikisha private sector inafuata rules zote za ujenzi zilizowekwa, kukusanya kodi na kujenga barabara
 
Wanasema mradi mpya wa kawe pale ulipokuwepo uwanja wa mpira zile ghorofa zinazofumuka kwa haraka ni mali ya Abdul, ni maneno yanayoendelea huko mtaani. Kama kuna ukweli au la, ni wakati wa mleta mada kuja na ufafanuzi wa kina.
 
Sawa tuu kwani Kuna tatizo?
Wanasema pia hata pale pembeni ya Aga Khan ni mali ya Abdul. Inaonekana dogo ni tajiri sana tena kwa muda mfupi tu.

Waswahili tunapenda sana habari za kusingizia viongozi, nakumbuka hata Mama Sitti Mwinyi walisema ni mmiliki wa lile jengo linalotazama na Maktaba Kuu pale kwenye kona ya kuelekea Posta Mpya.
 
Kuna shida mahali?
 
Kuna bandari zaidi ya tatu zinakwenda kupata waendeshaji wapya, na kote huko mikataba ni mibovu?. Profesa Shinji kaingiza chaka watanzania wengi kwa kudai mkataba hauna ukomo wakati ukomo unakuwepo kwenye mikataba ya biashara.

Unakuja wakati wa nchi kufaidika na bandari zetu kwa kuleta waendeshaji wenye uwezo na wenye CV zinazojitosheleza, ule wakati wa kuatamia mali zetu huku tukiendelea kusota kwa umaskini umeshapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…