Sekunde 30 za ngono zilivyompeleka jehenamu kwa miaka 30

Unaweza kutumegea info zaidi za jinsi mlimvyomnasua bwana hamisi kutoka jela?
 
Vip tatzo lake la tano chali kashalimaliza?
 
Kuna kubaka kikawaida kwa maana ya ku force penetration kwenye uke na kuna kubaka kisheria yaani statutory rape, ata kama mtu mmekubaliana ila kisheria umebaka tu hasa hao chini ya miaka 18 na wanafunzi.
° traditional healer anapotumia Uongo kukwambia mwanamke afanye nae ngono Ili apone, refer the decision ya case ya Kabulungu Juma v R
°kufanya ngono na mke ambaye kiuhalisia mlisha achana nae bila ridhaa yake
° Kutumia mamlaka yako kuomba ngono eg prisoner and prison Warden, boss and employee, lecturer and student,
 
Huu uzi umenitishia kweli ngoja nisogeze mbele mpango wangu mpaka hofu itapotoka[emoji23]
 
°kwenye jinai unaweza ukawa umetenda kosa kabisa na ukashinda hiyo inatokana na police kutokuwa makini kuzijua na kuzifuata Sheria like PGO, EVIDENCE ACT, CRIMINAL PROCEDURE,nk nk
 
°kwenye jinai unaweza ukawa umetenda kosa kabisa na ukashinda hiyo inatokana na police kutokuwa makini kuzijua na kuzifuata Sheria like PGO, EVIDENCE ACT, CRIMINAL PROCEDURE,nk nk
Nafahamu Mkuu, lakini kupona haiondoi kuwa jamaa alitenda jinai sababu mwwnyewe alikiri hilo kosa na nashangaa hakuhukumiwa kwenye hilo kosa, labda halikuwa kwenye charge sheet.
 
Nafahamu Mkuu, lakini kupona haiondoi kuwa jamaa alitenda jinai sababu mwwnyewe alikiri hilo kosa na nashangaa hakuhukumiwa kwenye hilo kosa, labda halikuwa kwenye charge sheet.
° uko Kiri kosa kwenye sheria yetu ya mwenendo wa makosa ya jinai, option uliyonayo kwenye rufaa ni legality ya sentence, that is go say uhalali wa kifungo, unaenda kupinga uhalali wa kifungo tu kwenye higher courts
 
Mkuu hujanielewa ninachoongelea, siongelei namna ya ku appeal kweny plea of guilty, hapana. Naongelea kuwa Hamis alikiri kufanya mapenzi na binti wa miaka 16 which is statutory rape iliyokuwa supported na ushahidi wa binti ambapo kwenye rape, victims evidence is best evidence, then Hamis akaenda free of guilty. Hapo ndipo ilipo centre ya mjadala wangu.

Kama ni kisa cha kweli, kwanini hakimu alimuacha jamaa kwenye rape iliyokuwa proved, akaenda kumfunga kwa kumpa ujauzito huyo binti?, imenishangaza kidogo japo kama ni lawama zaidi nitazipeleka kwa prosecution side hawakufanya kazi yao vizuri.
 
°namna ya ku appeal ni lazima ijadiliwe kwa sababu huyo Hamis ametoka kwenye rufaa if I'm not mistaken
°kama alimfunga Kwa kumpa mimba student, na akaacha kumfunga Kwa kubaka pengine labda plea of guilty yake ilikuwa ni equivocal, Hakuonywa Hatari ya kukubali kosa, alikuwa haelewi nature ya offense to which he stood charged.
° pangekuwa na copy of judgement ingependeza
 
Vipimo vya DNA vya bongo havijawahi kusema mtoto sio wa baba aliyepimwa (-ve) hata kama kasingiziwa, zimesetiwa kutoa majibu ya "YES ,YOU ARE THE FATHER" 😂😂😂
Labda muende wawili kupima kujua baba ni nani ? ila lazima mmoja atapewa tu mzigo hata kama mlikuwa watano mnashare na ukienda alone pia unapigwa unaambiwa ni mwanao..
 
Yaan kudate n mwanafunz n sawa n kuegemea Ukuta wa UKONGA muda wowote upo ndan
 
Kuna kubaka kikawaida kwa maana ya ku force penetration kwenye uke na kuna kubaka kisheria yaani statutory rape, ata kama mtu mmekubaliana ila kisheria umebaka tu hasa hao chini ya miaka 18 na wanafunzi.
Mkuu 666 chata unaweza kutuelezea kidogo maana ya statutory rape ili na sisi tuelewe tafadhali
 
Jamaa alijichanganya kidogo nusura ayaharibu maisha Yake.Hongera kwa wanafamilia kwa kusimamia ukucha kumuokoa jamaa yao.

Hapo kwa premature ejaculation nyeto imehusika kwa asilimia 90
 
Sasa Mkuu tukijadili appeal ambayo sio key issue hapa hauoni kuwa tunaupoteza mjadala?, anyway kwakuwa haidhuru haina tatizo.

Issue ya plea yake, kuwa equivocal ina maana direct ali plea not guilty. Sasa kama ali plea kuwa hana kosa why ushahidi atoe kuwa alifanya na zaidi akawa supported na ushahidi wa victim mwenyewe na hakuukataa. Kwa picha hiyo utaona.kabisa plea yake haikuwa equivocal bali non equivocal, kwa sababu hiyo hapo sikubaliani na wewe Mkuu.

Ni kweli ili kuondoa maswali yakubuni ingekuwepo hukumu ila zaidi ungekuwepo mwenendo tungejua kilitokea nini Mahakamani.
 
°hapo kwenye plea nilikuwa namaanisha ni unequivocal au hukuelewa?
°
 
°hapo kwenye plea nilikuwa namaanisha ni unequivocal au hukuelewa?
°
Sasa kwanini nifikirie uliandika tofauti na ulichoandika Mkuu?.

Ila pia usichanganye mambo Mkuu hasa kwenye plea ambapo plea ni mbili tu equivocal na non equivocal, mshtakiwa aki plea equivocal ahakama itaandika ame plea not guilty, ila aki plea non equivocal Mahakama itamuuliza tena na tena akishikilia msimamo wake Mahakama inaandika ame plea guilty.

Ni hayo tu Mkuu.
 
°hoja ni kwamba did the trial court warn itself before convicting huyo accused?
 
°hoja ni kwamba did the trial court warn itself before convicting huyo accused?
Issue ni mazingira yapi Mahakama inatakiwa kujionya kabla ya maamuzi Mkuu?. Ni kweli kuwa wakati wote Mahakama.inatakiwa kuwa makini kabla ya kutoa maamuzi.

kama utakuwa upande wa jamaa Hamis ukisema tu Mahakama haikujionya utasababisha jamaa aangukiwe na rape mapema sana. Ila ukiwa upande wa prosecution ndio unaweza ukaibua hayo sasa.

Ila kama jamaa ndio mteja wako dont kabisa Mkuu, utamdumbukiza pagumu sana 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…