Sekunde 30 za ngono zilivyompeleka jehenamu kwa miaka 30

Sekunde 30 za ngono zilivyompeleka jehenamu kwa miaka 30

Issue ni mazingira yapi Mahakama inatakiwa kujionya kabla ya maamuzi Mkuu?. Ni kweli kuwa wakati wote Mahakama.inatakiwa kuwa makini kabla ya kutoa maamuzi.

kama utakuwa upande wa jamaa Hamis ukisema tu Mahakama haikujionya utasababisha jamaa aangukiwe na rape mapema sana. Ila ukiwa upande wa prosecution ndio unaweza ukaibua hayo sasa.

Ila kama jamaa ndio mteja wako dont kabisa Mkuu, utamdumbukiza pagumu sana 😂
°mbona unakimbilia kwenye conclusion, kwamba mteja nitamdumbukiza Mimi sio lawyer Mimi ni CPA PUBLIC PRACTICE, natumia knowledge ya certificate (kwa sababu Nina certificate ya law pia)
°inaonekana hujui vizuri sheria na argumentative skills, mtu anayejua vizuri sheria Cha kwanza atataka kuona Nakala ya hukumu Ili kuona ratio decidendi, obiter dictum
CPA Balenciaga
 
After you ejaculate is when you realize life is not all about sex. Soon as you cum ,you come back to your senses

Saizi hamisi ukimuonyesha denti anaweza hata kukupiga ngumi , katika vitu vingi ambayo unatakiwa upambane kuvi-control ni pamoja na ;
1. Nyege
2. Hasira
 
2020
Bwana Hamis (sio jina halisi) alikua ni kijana wa mtaa, wakati huo amemaliza form 4 pale kinondoni, hakufaulu na hakupata ajira yoyote so akawa ni mtu wa maskani tu.

Maskani ya vijana wengi wa dar hua inakua opposite na gheto la mwamba mmoja ambaye hua ametoa ruhusa ya mwana yoyote kati yao mwenye demu basi amlete aliwe, so Hamis nae alikua ni mnufaika wa offer hii na wenzake pia.

Lakini pia gheto ilo ndio walikua wanalitumia vijana wote wa kitaa ambao wapo wapo tu na hawana ishu kushinda pale kuangalia mitikasi ya maisha, so wanashinda hapo na kupanga mipango na endapo itatokea mmoja wapo ana demu siku hio basi wengine itawabidi wasepe.

Main
Jumatatu mmoja binti wa miaka 16, alitoroka shuleni kwao hapo kinondoni na kwenda kwenye ilo gheto la masela, ambapo inasemekana alikua na appointment na mmoja wa wahuni wa hapo (sio hamis) na ambaye pia ni mwanafunzi mwenzake na hawakua na mpango wa kwenda class siku hio. ila kwa bahati mbaya siku hio huyu mwanafunzi hakuwasiliana na uyo mpenzi wake (anaitwa Juma), so akaenda bila taarifa.

binti Kufika gheto akamkuta Hamis yupo pekee ake, nae wanajuana kama mashemeji, so akakaribishwa ndani, binti akaingia, baadae Hamis akaanza kumchezea shemeji yake uyo mwenye miaka 16 na atimae akafanikiwa kumvua chupi na kumla.

Sasa Hamis alikua ana sumbuliwa na tatizo la pre mature ejaculation yaani mwanaume hawezi kuendelea na tendo la ndoa akishakojoa, na kwa mujibu wa Hamis mwenyewe ana kili wazi kwamba siku hio alivyomchomekea tu uume wake huyu binti alimwaga hapo hapo na hakuweza kuendelea, yaan anasema alitumia wastani wa sekunde 5 to 30. Haya yalithibitishwa na binti husika wakati wa utoaji ushahidi mahakamani.

Hamis alikujwa kukamatwa baadae kwa kosa la kubaka na kumpa mimba mwanafunzi, na mwanafunzi alishika ujauzito hio siku, na hamis alijitete mbele ya pilato pale mahakama ya wilaya kinondoni; kwamba hakubaka na walikubaliana na uyo binti na ata kitendo kilochofanyika ni kwamba alimuingizia kidogo sana na akashindwa kuendelea. Ushahidi wake ulikua same na wa mwanafunzi ambae nae alisema ivyo ivyo akiweka wazi kwamba hakubakwa, na vipimo vya DNA vilikuja kuonesha baadae kwamba mtoto aliezaliwa ni wa Hamis kwa asilimia 99.99

So Mahakama ikamkuta na Hatia Bwana Hamis ivyo akafungwa miaka 30 jela. siku ya kusomwa Hukumu Hamis alizimia kwa muda mrefu sana, alivyokuja kuzinduka tayari alikua ktk dispensari ya magereza akiwa na pingu mkononi na uzi mpya rangi ya karoti kuonesha tayari amekwisha anza maisha mapya ya jehenamu kwa miaka 30 ijayo. Hamis alienda jela akiwa na tatizo lake la kukojoa baada ya sekunde 5 na mashine kuzima, ila aliacha katoto kazuri ka kiume ambako sasa kana lelewa na familia ya yule mwanafunzi.

2023
Ndugu na jamaa tulipambana na leo Hamis yupo uraiani. Tulishinda kesi yake ya rufaa mahakama kuu kwa technicalities tena zile za haki bin haki sio mrungura.

Hamis sasa ana swali swala zake tano na hana habari na wanawake tena.
Hamis sasa ana swali swala zake tano na hana habari na wanawake tena.[emoji3064][emoji2827]
Vipi kuhusu katoto kake kazuri
 
°mbona unakimbilia kwenye conclusion, kwamba mteja nitamdumbukiza Mimi sio lawyer Mimi ni CPA PUBLIC PRACTICE, natumia knowledge ya certificate (kwa sababu Nina certificate ya law pia)
°inaonekana hujui vizuri sheria na argumentative skills, mtu anayejua vizuri sheria Cha kwanza atataka kuona Nakala ya hukumu Ili kuona ratio decidendi, obiter dictum
CPA Balenciaga
Mkuu kwanini tupoteze muda mrefu sehemu moja ndogo sana. Ila nimeelewa tatizo lilipo.

Ila niamini nikisema kuwa certificate ya law haifundishi kabisa practice ya sheria hata degree yenyewe bado haifundishi practice ya sheria, kwa hiyo kwa base ya knowledge yako Mkuu lazima tutofautiane sababu.mimi.naongelea real practice ya sheria.wewe upo kwenye theory ya sheria.

Nakwambia hivyo sababu mimi ni wakili nafahamu kabisa approach hii Mahakamani haitoboi, hii inatoboa na hii inatoboa kwa mbinde.

Ila nakubali kuna.mahali una point nzuri ni vile impact yake haukuiwaza kwa mtuhumiwa.
 
°mawakili wa bongo wengi ni Vilaza wachache tu ndiyo sio vilaza kina kibatala,Mallya,Lissu,Matata,Nkungu,nk
 
Kuna dogo wa chuo kaja kuniuliza, "bro eti p2 ni bei gani"? Nikajua tu kimeumana huyu.

Huyu nae story ni kama ya ndg Hamisi sema ye ni dem wake aliemtongoza jana na leo kaend mla, mtondogoo dem anamwambia ana mimba na yupo form six.

Huyu dogo alivo kolo kauvaa mkenge anaishi kwa stress kwa mimba ya mchongo.
 
°mawakili wa bongo wengi ni Vilaza wachache tu ndiyo sio vilaza kina kibatala,Mallya,Lissu,Matata,Nkungu,nk
Umeona sasa tatizo lako Mkuu umeambiwa ukweli certificate yako ni.ndogo mno kwenye practice ya sheria unaanza dharau 😂😂.

Anyway unatakiwa kufahamu kuwa kuna mawakili maarufu (ni upepo wa msimu) tu ila kamwe hakuna wakili kilaza, kila wakili anayo sehemu yake ya sheria anayoifahamu vyema tena sana. Ukimkuta ana dema dema mahali jua tu hii sio area yake huyu.
 
  • acha uzembe hivi unaweza linganisha mawakili wa Tanzania na Kenya?
  • Hivi hapa Tanzania Kuna Wakili zaidi ya Lissu?
 
Mleta mada ungetumegea njia mlizotumia kumnasua jamaa ungefanya la maana sana.
 
Unaweza kutumegea info zaidi za jinsi mlimvyomnasua bwana hamisi kutoka jela?
kulikua na makosa mengi ktk kesi iliyopita ya mahakama ya wilaya. Ambayo Jaji aliona haki haikutendwa kwa bwana Hamis, so akamuachia.
 
Nafahamu Mkuu, lakini kupona haiondoi kuwa jamaa alitenda jinai sababu mwwnyewe alikiri hilo kosa na nashangaa hakuhukumiwa kwenye hilo kosa, labda halikuwa kwenye charge sheet.
Its not about kukiri its about procedures, je taratibu zimefuatwa?
 
Mkuu hujanielewa ninachoongelea, siongelei namna ya ku appeal kweny plea of guilty, hapana. Naongelea kuwa Hamis alikiri kufanya mapenzi na binti wa miaka 16 which is statutory rape iliyokuwa supported na ushahidi wa binti ambapo kwenye rape, victims evidence is best evidence, then Hamis akaenda free of guilty. Hapo ndipo ilipo centre ya mjadala wangu.

Kama ni kisa cha kweli, kwanini hakimu alimuacha jamaa kwenye rape iliyokuwa proved, akaenda kumfunga kwa kumpa ujauzito huyo binti?, imenishangaza kidogo japo kama ni lawama zaidi nitazipeleka kwa prosecution side hawakufanya kazi yao vizuri.
Hakukua na plea of guilt, huko kukili kulikuja wakati anafanyiwa cross examination na SA. Defaults zilikua nyingi sana thusway Judge ali i set aside judgment ya DC.
 
° traditional healer anapotumia Uongo kukwambia mwanamke afanye nae ngono Ili apone, refer the decision ya case ya Kabulungu Juma v R
°kufanya ngono na mke ambaye kiuhalisia mlisha achana nae bila ridhaa yake
° Kutumia mamlaka yako kuomba ngono eg prisoner and prison Warden, boss and employee, lecturer and student,
Ahsante kwa kunirudisha darasani kidogo
 
Hakukua na plea of guilt, huko kukili kulikuja wakati anafanyiwa cross examination na SA. Defaults zilikua nyingi sana thusway Judge ali i set aside judgment ya DC.
Mkuu kama hutojali naomba link ya Tanzlii hiyo kesi, kuna mahali naweza okota kitu chakutumia siku za karibuni. Nitumie hata inbox jina kamili nikaitafute mwenyewe
 
Back
Top Bottom