Sekunde 30 za ngono zilivyompeleka jehenamu kwa miaka 30

Sekunde 30 za ngono zilivyompeleka jehenamu kwa miaka 30

Mtoto wa kike chini ya 18+ hata kama mmekubaliana hapo ukishikwa wewe ni mbakaji tuu..
 
Vipimo vya DNA vya bongo havijawahi kusema mtoto sio wa baba aliyepimwa (-ve) hata kama kasingiziwa, zimesetiwa kutoa majibu ya "YES ,YOU ARE THE FATHER" [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Mkuu tukisema aliyepimwa sio baba yake huyo mtoto atalelewa na nani wakati hatumjui baba mwingine zaidi ya huyo?
Naamini kuna maelekezo kutoka ustawi wa jamii kuhusiana na majibu ya DNA ili kuangalia ustawi wa mtoto kwenye malezi.
Ndiyo maana leo hii usitarajie kuwa DNA itakuunga mkono hata kama una uhakika Mkeo kachepuka na mtoto unaamini kabisa sio wako, unless kuwe na baba wawili wanaogimbea mtoto mmoja.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kwaio tuendelee kuwa social fathers kama alivyosema Prof. Kabudi? 🙂 🙂
 
Hamis sasa ana swali swala zake tano na hana habari na wanawake tena.[emoji3064][emoji2827]
Vipi kuhusu katoto kake kazuri
Familia ya Bwana Hamis ilimkataa yule
Mtoto, na hata Hamis nae alisema yule mtoto yeye hamtambui, kwa kile kilichosemekana uhasama baina ya familia hizi mbili, familia ya denti ikilalamika Hamis alimuaribia maisha binti yao, na wakati kesi inaendelea familia ya huyu binti walikua wanaenda mahakamani kila siku na walifanya sherehe siku ambayo Hamis alitiwa hatiani.
 
Back
Top Bottom