Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia

Chadema huwa ni wapumbavu sana walio wengi ukitoa mwenyekiti ambae yuko jela na wengine wachache waliobaki wengi huwa ni wapumbavu Unawezaje kumpokea mtu kama selasini?
 
Nilijua tu hawa watu wanafanya kazi za kutumwa na CCM, na wamepewa mission kuja kuwavuruga Chadema.

Chadema mnapaswa kumwa makini sana na watu walioondoka na kisha wanaomba kurudi. Wengi huwa ni mamluki wametumwa na wanalipwa kuja kuwavuruga.

The most effective person CCM watataka kumpanda ndani ya Chadema ni yule anaejifanya ametubia makosa yake anaomba kurudi Chadema. Be very careful na watu hao.

Selasini akiwa ndani ya Chadema hana mamlaka ya kutoa maoni kwa jambo ambalo linapaswa kutolewa msimamo wa chama. Kama ana maoni kama haya anapaswa kuyatoa ndani ya vikao vya chama. In fact hili ni jambo hata Heche au Lisu hapaswi kulisemea as an individual, sembuse Selasini? Kwa jambo kama hili Selasini anapaswa kufukuzwa toka Chadea kwa sababu anapandikiza mbegu za kukigawa chama.
Sio huyo tu hata Misigwa wote walifukuzwa kwani chadema haiwezi kusonga mbele bila hao makapi chadema huwa wana miyeyusho sana
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.

Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.

Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.

..Chadema hawajakataa maridhiano.

..ila wamependekeza hatua za kuchukuliwa ili kuwawezesha wakae ktk meza ya maridhiano.

..hatua ya kwanza Chadema wamependekeza Mwenyekiti wao Tundu Lissu aachiwe.

..hatua nyingine wamependekeza atafutwe MSULUHISHI asiye na maslahi na upande wowote, preferably atoke nje ya nchi.

..vilevile Chadema wamependekeza hoja za maridhiano ziwekwe wazi.

..Sasa wanaoitakia mema nchi hii na wanaotamani Chadema iingie ktk maridhiano wautake upande wa pili utekeleze mapendekezo ya Chadema.
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.

Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.

Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.

Huyu jamaa alikuwa mwenyekiti wa NCCR juzi kati na sasa hivi ni mwanachama wa CHADEMA😂😂

Kutoka uenyekiti hadi uanachama wa kawaida😅😅🤦🏽‍♀️
 
Sio huyo tu hata Misigwa wote walifukuzwa kwani chadema haiwezi kusonga mbele bila hao makapi chadema huwa wana miyeyusho sana
Nadhani wawe wanashughulikia haya masuala on a case by case basis. Wasitoe blanket pardon kwakila anaetaka kurudi. Huyu Selasini kila anapokuwa ni issue. Si alikuwa NCCR Magaeuzi huyu?
 
Mbona kama kaja kimkakati au hajui hata chama chake kina msimamo gani kwenye kila kitu.
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.

Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.

Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.

Huyo mpumbavu kama anafikri ni fursa kwake aende nccr yake chadema haihitaji maridhiano Kwa sasa.
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.

Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.

Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.

Hii dog inatumika vibaga
 
Ndiyo alichotumwa na Wauaji
 
Wewe mzee kwanini usiende kupiga ugoro ukalale?Naona kama uzee unakujia vibaya!
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.

Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.

Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.

Fukuza takataka
 
Huyu tulishaonya kuwa amekuja kuvuruga chama. Atazamwe kwa macho yote 360 siku zote za maisha yake hapo CHADEMA na pia watazamwe vijana watakaokuwa wanawasiliana nae huyu takataka. Kwanza anaongea kama nani?

Hii kitu tumeshakataza kila mtu kuongea anavyojisikia yeye. Kama anatoa maoni aongee yey kama yeye na sio kama mwanachama wa Chadema au kiongozi wa chadema. Hebu tufanye kama anazingatia utaratibu.
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.

Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.

Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.

NAFIKIRI SHIDA IKO HAPAA: NANI ALIWAMBIA VIJANA KUFANYA FUJOOO ZILEEE.MAANA MSINGI WAMAPATANO LAZIMA AJULIKANE NI NANI ALIWATUMA VIJANA WALE.KAMA NI CHADEMA ISEME NI SISI .KAMA NI WANAHARAKATI WASEME NI SISI. UKISHASEMA NI MIMI NILIWATUMA ,HAPA SASA TUNAKAA CHINI TUNALIDHIANA KWAMBA SIKU NYINGINE USIFANYE VILEEE NA PIA MLICHOMA SHELI NA MALI ZA SERIKALI.KWA HIYO SASA UNAKUBARI KULIPA FIDIA? MHHHHHHHHHH.MZIKI UKO HAPOOOOOO
 
Back
Top Bottom