Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia

Nadhani

Sasa wamejifunza
Kabisa! Na pia kuwe na utaratibu wa kuongea sio kila mtu muongeaji,mwingine ana tweet mara mwingine anaita press, chama kinachojielewa kuna utaratibu hata kama mnakuwa na mitazamo tofauti kuna sehemu ya majadiliano(mkutano mkuu)
 
Lkn hao wanaofanya hivyo wanafanya kwa maelekezo ya watesi wa CHADEMA kwa sababu Hawa CDM wasaliti tayari walishapokea vipande vya fedha.
 
Back
Top Bottom