antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Aisee,Selasini alikua jna Masaki,, watu wanajua walichokiongea na alichotumwa kukisema, Jana nilikua masaki pale Orchid Cafe na Lema, so relax.
Sio huyo tu hata Misigwa wote walifukuzwa kwani chadema haiwezi kusonga mbele bila hao makapi chadema huwa wana miyeyusho sanaNilijua tu hawa watu wanafanya kazi za kutumwa na CCM, na wamepewa mission kuja kuwavuruga Chadema.
Chadema mnapaswa kumwa makini sana na watu walioondoka na kisha wanaomba kurudi. Wengi huwa ni mamluki wametumwa na wanalipwa kuja kuwavuruga.
The most effective person CCM watataka kumpanda ndani ya Chadema ni yule anaejifanya ametubia makosa yake anaomba kurudi Chadema. Be very careful na watu hao.
Selasini akiwa ndani ya Chadema hana mamlaka ya kutoa maoni kwa jambo ambalo linapaswa kutolewa msimamo wa chama. Kama ana maoni kama haya anapaswa kuyatoa ndani ya vikao vya chama. In fact hili ni jambo hata Heche au Lisu hapaswi kulisemea as an individual, sembuse Selasini? Kwa jambo kama hili Selasini anapaswa kufukuzwa toka Chadea kwa sababu anapandikiza mbegu za kukigawa chama.
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.
Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.
Huyu jamaa alikuwa mwenyekiti wa NCCR juzi kati na sasa hivi ni mwanachama wa CHADEMA😂😂Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.
Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.
Mtu katoka NCCR Jana anaanza kuipangia CHADEMA cha kufanya.Kila siku tunawaambia chadema ni washamba, hawana jinsi watafya nn
Nadhani wawe wanashughulikia haya masuala on a case by case basis. Wasitoe blanket pardon kwakila anaetaka kurudi. Huyu Selasini kila anapokuwa ni issue. Si alikuwa NCCR Magaeuzi huyu?Sio huyo tu hata Misigwa wote walifukuzwa kwani chadema haiwezi kusonga mbele bila hao makapi chadema huwa wana miyeyusho sana
Huyo mpumbavu kama anafikri ni fursa kwake aende nccr yake chadema haihitaji maridhiano Kwa sasa.Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.
Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.
Atafanya yeye na familia yake huko ikuluHuyu alimpindua Mbatia kwa kikao kilichofanyika bar na msajili wa vyama vya siasa akabariki maamuzi.
Wakiendelea kumchekea watamkuta Ikulu anafanya majadiliano ya maridhiano.
Hana cha kufanya hata aruke arukeKarudi kwa kazi maalumu na chadema wameingia kichwa kichwa wamempokea
Hii dog inatumika vibagaMwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.
Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.
Ndiyo alichotumwa na WauajiMwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.
Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.
Wewe mzee kwanini usiende kupiga ugoro ukalale?Naona kama uzee unakujia vibaya!Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.
Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.
Fukuza takatakaMwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.
Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.
Kwa mfano mtafanyaje ikitokea akaitisha kikao bar cha baraza kuu akamvua cheo Heche halafu akapeleka taarifa kwa Msajili wa vyam vya Siasa ?Atafanya yeye na familia yake huko ikulu
NAFIKIRI SHIDA IKO HAPAA: NANI ALIWAMBIA VIJANA KUFANYA FUJOOO ZILEEE.MAANA MSINGI WAMAPATANO LAZIMA AJULIKANE NI NANI ALIWATUMA VIJANA WALE.KAMA NI CHADEMA ISEME NI SISI .KAMA NI WANAHARAKATI WASEME NI SISI. UKISHASEMA NI MIMI NILIWATUMA ,HAPA SASA TUNAKAA CHINI TUNALIDHIANA KWAMBA SIKU NYINGINE USIFANYE VILEEE NA PIA MLICHOMA SHELI NA MALI ZA SERIKALI.KWA HIYO SASA UNAKUBARI KULIPA FIDIA? MHHHHHHHHHH.MZIKI UKO HAPOOOOOOMwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.