Sijui, inawezekana ni dharau kwa waliompokea, au ni mtu asiyekuwa na simile.Mtu katoka NCCR Jana anaanza kuipangia CHADEMA cha kufanya.
Bangi zimekukaa nyingi kichwani!.NAFIKIRI SHIDA IKO HAPAA: NANI ALIWAMBIA VIJANA KUFANYA FUJOOO ZILEEE.MAANA MSINGI WAMAPATANO LAZIMA AJULIKANE NI NANI ALIWATUMA VIJANA WALE.KAMA NI CHADEMA ISEME NI SISI .KAMA NI WANAHARAKATI WASEME NI SISI. UKISHASEMA NI MIMI NILIWATUMA ,HAPA SASA TUNAKAA CHINI TUNALIDHIANA KWAMBA SIKU NYINGINE USIFANYE VILEEE NA PIA MLICHOMA SHELI NA MALI ZA SERIKALI.KWA HIYO SASA UNAKUBARI KULIPA FIDIA? MHHHHHHHHHH.MZIKI UKO HAPOOOOOO
Too late,na keshaharibu piaKarudi kwa kazi maalumu na chadema wameingia kichwa kichwa wamempokea
Kwa hili mpo sahihi. Unaanzaje kumchukua mtu ambae katoka kukivuruga chama kingine (NCCR) hivi karibuni tu?Kila siku tunawaambia chadema ni washamba, hawana jinsi watafya nn
Mnakigeuza CDM kuwa CCM2. Sio dhambi kwa mwanachama wa chama cha siasa kuwa na mawazo binafsi yanayotofautiana na msimamo rasmi wa chama chake. Aidha, si dhambi kuyaweka hadharani ili yajadiliwe. Hamna mtu asiyejua kuwa anachosema 30 sio msimamo wa CDM. Kumkataza kuyasema ni kutaka wanachama wawe kama nyumbu ambao kazi yao ni kuwaimbia mapambio ya chama chao. Badala ya kumsimanga na kutaka afukuzwe, hoja zake zijadiliwe.Nilijua tu hawa watu wanafanya kazi za kutumwa na CCM, na wamepewa mission kuja kuwavuruga Chadema.
Chadema mnapaswa kuwa makini sana na watu walioondoka na kisha wanaomba kurudi. Wengi huwa ni mamluki wametumwa na wanalipwa kuja kuwavuruga.
The most effective person CCM watataka kumpanda ndani ya Chadema ni yule anaejifanya ametubia makosa yake anaomba kurudi Chadema. Be very careful na watu hao.
Selasini akiwa ndani ya Chadema hana mamlaka ya kutoa maoni kwa jambo ambalo linapaswa kutolewa msimamo wa chama. Kama ana maoni kama haya anapaswa kuyatoa ndani ya vikao vya chama. In fact hili ni jambo hata Heche au Lisu hapaswi kulisemea as an individual, sembuse Selasini? Kwa jambo kama hili Selasini anapaswa kufukuzwa toka Chadea kwa sababu anapandikiza mbegu za kukigawa chama.
Chadema wana udhahifu mkubwa wakurudisha makapi(vibaraka)Too late,na keshaharibu pia
Atawazingua sanaHana cha kufanya hata aruke aruke
Hivi hao wanaotaka chadema afanye maridhiano,"mardhiano gani? Nadhani chadema hawana tatizo la kuridhiana na serikali au ccm. Chadema siku zote wako very straight. Wanachotaka uchaguzi uwe huru na wa haki. Ikiwa hivyo sidhani kama kuna haja ya kuridhiana. CCM na serikali yao nao wanajua Uchaguzi huru na haki kwao ni over impossible kwa sababu kwa utawapunguzia ulaji kwa hiyo ccm wanapetipeti kujifanya wanajua kutawala. Chadema watakuwa hovyo kufanya maridhiano na mtu anaye kuulia wanachama waki kila wakati tena kwa kuwapiga risasi na kuwatupa kama wanyama.Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia.
Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au kupendekeza mabadiliko kabla ya kufikia uamuzi wa mwisho.
Soma pia: Baada ya Miezi Miwili kurejea CHADEMA, Selasini ataka Heche achunguzwe na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
Selasini amesema Watanzania wanahitaji kuzungumza ili kufikia maridhiano, akisisitiza kuwa maridhiano ni matokeo ya mchakato wa majadiliano na si jambo linaloweza kukataliwa kabla ya mchakato huo kuanza.
NI sawa, lakini si kila jambo la chama linapaswa kusemwa hadharani na wananchama, hasa pale inapotokea wanaenda kinyume na msimamo wa uongozi wa juu wa chama.Mnakigeuza CDM kuwa CCM2. Sio dhambi kwa mwanachama wa chama cha siasa kuwa na mawazo binafsi yanayotofautiana na msimamo rasmi wa chama chake. Aidha, si dhambi kuyaweka hadharani ili yajadiliwe. Hamna mtu asiyejua kuwa anachosema 30 sio msimamo wa CDM. Kumkataza kuyasema ni kutaka wanachama wawe kama nyumbu ambao kazi yao ni kuwaimbia mapambio ya chama chao. Badala ya kumsimanga na kutaka afukuzwe, hoja zake zijadiliwe.
Mbona Lissu alimtetea Msigwa alipozungumzia ubadhirifu ndani ya chama chake kwa kukitaka CDM kizijadili kwa sababu zina mashiko?
Mnasahau kuwa Lissu alipinga waziwazi msimamo wa chama chake kuhusu Maridhiano na hakuchuliwa hatua yeyote?
Msigwa alipinga waziwazi msimamo wa wenzake kuhusu suala la Ngorongoro na hakuchuliwa hatua.
CDM ilionyesha ukomavu wake wakati ule kwa kuruhusu hizo tofauti za mtazamo ndani yake. Kwa kufanya vile walijitofautisha na CCM.
Amandla...
AsalamalekoChadema huwa ni wapumbavu sana walio wengi ukitoa mwenyekiti ambae yuko jela na wengine wachache waliobaki wengi huwa ni wapumbavu Unawezaje kumpokea mtu kama selasini?
Utapewa mimba alafu uanze kulaumu kwamba wagiriki wakolofiAsalamaleko
π’π’Utapewa mimba alafu uanze kulaumu kwamba wagiriki wakolofi
πππ’π’
Shenziii zakoππ
Msimamo wa uongozi wa juu wa chama ni kuficha tuhuma za ubadhirifu?NI sawa, lakini si kila jambo la chama linapaswa kusemwa hadharani na wananchama, hasa pale inapotokea wanaenda kinyume na msimamo wa uongozi wa juu wa chama.
Selasini ni mwanachama wa kawaida na alitumia yake kukishauri chama chake. Bila shaka alitumia uzoefu wake katika vyama vingine.Kwa hiyo inabidi uwe na busara nakuangalia angle zote.Kutoa ushauri juu ya mambo ambayo hayana msimamo wa chama ni kawaida. Na pia ni muhimu kuangalia nani anayatoa. Haya aliyosema Selasini kama yangesemwana mwanachama wa kawaida wala sio nongwa
Unachanganya neno "nigger" na "nigga". Hamna mtu yeyote anayekubaliwa kumuita mwingine "nigger" hata kama na yeye ni mweusi. Neno linalotumiwa na wamarekani weusi peke yao ni "nigga". Hata hivyo wako wamarekani weusi wengi tu wanaopinga matumizi yake na mtu yeyote.Wamarekani weusi wanakuambia, mweusi mwenzangu akiniambia "Hi nigger, what's up" sina tatizo. Sasa ngoja mzungu aniambie maneno hayo hayo atakiona cha moto!
Sasa wamejifunzaChadema wana udhahifu mkubwa wakurudisha makapi(vibaraka)