Kabisa! Na pia kuwe na utaratibu wa kuongea sio kila mtu muongeaji,mwingine ana tweet mara mwingine anaita press, chama kinachojielewa kuna utaratibu hata kama mnakuwa na mitazamo tofauti kuna sehemu ya majadiliano(mkutano mkuu)