Selasini: Watanzania waseme watakavyo, lakini namsihi Rais Samia asimwachie Lissu kwa shinikizo la nje

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.

PICHA za Matukio ya Leo Julai 03, 2026 za Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHAD...jpg
Selasini amesema kufungwa kwa Lissu si jambo la kujivunia kwa Tanzania na amewataka viongozi pamoja na wadau wote kulitazama suala hilo kwa maslahi ya nchi. Amesisitiza kuwa Tanzania ina uwezo wa kushughulikia changamoto zake kupitia mifumo yake ya kisiasa na kisheria bila kulazimishwa na shinikizo kutoka nje.

Soma pia: Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.

Selasini amesema kufungwa kwa Lissu si jambo la kujivunia kwa Tanzania na amewataka viongozi pamoja na wadau wote kulitazama suala hilo kwa maslahi ya nchi. Amesisitiza kuwa Tanzania ina uwezo wa kushughulikia changamoto zake kupitia mifumo yake ya kisiasa na kisheria bila kulazimishwa na shinikizo kutoka nje.

Soma: Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia

Asituletee ya NCCR au ya Mwamba maana hii ni CDM yenye msimamo na malengo thabiti.
 
Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.

Selasini amesema kufungwa kwa Lissu si jambo la kujivunia kwa Tanzania na amewataka viongozi pamoja na wadau wote kulitazama suala hilo kwa maslahi ya nchi. Amesisitiza kuwa Tanzania ina uwezo wa kushughulikia changamoto zake kupitia mifumo yake ya kisiasa na kisheria bila kulazimishwa na shinikizo kutoka nje.

Soma: Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia

Eti Mheshimiwa Rais, ana uheshimiwa gani huyo kilaza
 
Back
Top Bottom