Selasini: Watanzania waseme watakavyo, lakini namsihi Rais Samia asimwachie Lissu kwa shinikizo la nje

Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.

Selasini amesema kufungwa kwa Lissu si jambo la kujivunia kwa Tanzania na amewataka viongozi pamoja na wadau wote kulitazama suala hilo kwa maslahi ya nchi. Amesisitiza kuwa Tanzania ina uwezo wa kushughulikia changamoto zake kupitia mifumo yake ya kisiasa na kisheria bila kulazimishwa na shinikizo kutoka nje.

Soma pia: Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Tangu lini 30 kawa msemaji wa Cdm?

Kwa hili vuguvugu la kuivuruga Cdm lililopo sasa, anayeaminika pekee ni msemaji wa Chama/Katibu mkuu/N.mwenyekiti.

Awaye yote anayejitokeza na kuanza kuzungumza bila kufuata utaratibu, huyo ni wa kupuuzwa hata kama atamwaga madini kiasi gani.

Nina wasi wasi na huyu jamaa kurejea Cdm kimkakati.
 
KWeli nimeamini mtu anapozeeka akili nazo zinapungua kiufupi anakuwa kama taahira flani hivi
 
Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.

Selasini amesema kufungwa kwa Lissu si jambo la kujivunia kwa Tanzania na amewataka viongozi pamoja na wadau wote kulitazama suala hilo kwa maslahi ya nchi. Amesisitiza kuwa Tanzania ina uwezo wa kushughulikia changamoto zake kupitia mifumo yake ya kisiasa na kisheria bila kulazimishwa na shinikizo kutoka nje.

Soma pia: Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Joseph Selasini Shao yupo sahihi 100%🐒
 
Nadhani intelijensia ya chama CHADEMA kama mpo humu jukwaani mnatakiwa kujitathmini kwa kuwa wazembe. Huyu mtu hakutakiwa kurudi kwenye chama chenu.

Huyu jamaa ni mamluki na mpenda migogoro ya ndani ya chama kwa maslahi yake binafsi. Hata alipoondoka CHADEMA na kuhamia NCCR Mageuzi alitengeneza mgogoro mkubwa wa kumng'oa Mwenyekiti wa chama James Mbatia!

Fanyeni maamuzi mapema. Msiendelee kumvumilia mtu ambaye hana msaada wowote ule ndani ya chama, zaidi anataka kuleta migogoro tu baada ya kununuliwa na wenye mamlaka.
 
Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.

Selasini amesema kufungwa kwa Lissu si jambo la kujivunia kwa Tanzania na amewataka viongozi pamoja na wadau wote kulitazama suala hilo kwa maslahi ya nchi. Amesisitiza kuwa Tanzania ina uwezo wa kushughulikia changamoto zake kupitia mifumo yake ya kisiasa na kisheria bila kulazimishwa na shinikizo kutoka nje.

Soma pia: Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

Amezunguuuka lakini hitimisho ni maridhiano na hii ndiyo mission iliyomleta Chadema.
 
Ni Ile Ile mil 2 au huyu kaongezewa?
Kwamba mtu akivunja sheria basi maridhiano ndiyo yanatakiwa? Hivi Lissu amekamatwa na Mh.Rais au amekamatwa na vyombo vya usalama baada ya kukiuka sheria na maadili yetu ya taifa?
 
Ni kweli mkuu;

Tutapoteza sovereignty yetu na kila jambo haya majamaa yatakuwa yanatuburuza.

Yakilala yakiamka ni matamko tu na sisi tunayafuata kama wendawazimu.
 
Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.

Selasini amesema kufungwa kwa Lissu si jambo la kujivunia kwa Tanzania na amewataka viongozi pamoja na wadau wote kulitazama suala hilo kwa maslahi ya nchi. Amesisitiza kuwa Tanzania ina uwezo wa kushughulikia changamoto zake kupitia mifumo yake ya kisiasa na kisheria bila kulazimishwa na shinikizo kutoka nje.

Soma pia: Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR

akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.
 
Back
Top Bottom