M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Walimpokea mamluki huyu?Selani anatakiwa kufukuzwa mara moja
Walimpokea mamluki huyu?Selani anatakiwa kufukuzwa mara moja
Mmh, inafikirisha!Joseph Selasini Shao yupo sahihi 100%🐒
Yes gentleman,Mmh, inafikirisha!

Wacha ajichore,wasimpe umuhimu!Nadhani intelijensia ya chama CHADEMA kama mpo humu jukwaani mnatakiwa kujitathmini kwa kuwa wazembe. Huyu mtu hakutakiwa kurudi kwenye chama chenu.
Huyu jamaa ni mamluki na mpenda migogoro ya ndani ya chama kwa maslahi yake binafsi. Hata alipoondoka CHADEMA na kuhamia NCCR Mageuzi alitengeneza mgogoro mkubwa wa kumng'oa Mwenyekiti wa chama James Mbatia!
Fanyeni maamuzi mapema. Msiendelee kumvumilia mtu ambaye hana msaada wowote ule ndani ya chama, zaidi anataka kuleta migogoro tu baada ya kununuliwa na wenye mamlaka.
covid phase IIIDawa ni kumfuta uanachama walio karibu na viongozi wa juu.
Watengue uanachama wake kwa kweriiiii huyu SELASINI ni KIRUSII
Nadhani analamba hiyo kwa kila session!Ni Ile Ile mil 2 au huyu kaongezewa?
Dawa ni kuwafuta uanachama wapewe LIFE BAN KUJIHUSISHA NA CHADEMAcovid phase III
Jamaa katumwa na KIZIMKAZI GANG?Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa.
Selasini amesema kufungwa kwa Lissu si jambo la kujivunia kwa Tanzania na amewataka viongozi pamoja na wadau wote kulitazama suala hilo kwa maslahi ya nchi. Amesisitiza kuwa Tanzania ina uwezo wa kushughulikia changamoto zake kupitia mifumo yake ya kisiasa na kisheria bila kulazimishwa na shinikizo kutoka nje.
Soma pia: Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia na Selasini arudi CHADEMA baada ya kukihama NCCR
ling'0lewe chap!Pandikizi hili litasumbua
Na kumfukuza ni kufuata katiba piaKwanini Katiba ya Chama isifuatwe badala ya kuangalia hisia za wafuasi mitandaoni?
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Mwisho kabisa,mkate huo ukilainika vema kwa kufyonza utamu ndipo huliwa kwa wepesi.😂😂😂😂😂😂
Selasini ni mkate alafu mfumo ni chai 😂😂😂😂
Mungu hua wawafichi watu kama Hawa.Ni Ile Ile mil 2 au huyu kaongezewa?
Kama katiba inaelekeza hivyo ni sawa.Na kumfukuza ni kufuata katiba pia